Askofu Mwamakula: Waraka wa Kichungaji kwa Rais Samia Baada ya Jeshi la Polisi Kuwapiga na Kuwaumiza Wapinzani Mbeya

You nail it 🛠
 
Nabii Elia wa Nyakati zetu ni Askofu Mwamakula.

This Man of God Shall Prevail in Presence of Jehova Yile
 
'Sisi Askofu Mwamakula'!
Kweli kiswahili ni lugha ngumu sana, nadhani ni lugha ya kitume hii!
Hata hivyo Askofu kaandika 'facts' mtupu.
 
"Sisi Askofu"
Aliyemuelewa Mhasham anisaidie kuellewa
 
Kuna wabunge wenye makanisa hawa tuwaweke wapi?
 
Eti siasa na dini ila Mwamposa anapoahinda Arusha kwa makonda sio siasa na dini😆😆

Haters mna matatizo sana
 
Mwamakula amepinda tu kama mateja yanayovuta unga. Yeye Hana kanisa wala waumini popote japo anaitwa Askofu wa Moravian Uamsho. Emmanuel Bandekile Mwamakula ni Tapeli tu kama tapeli yeyote unayomfahamu. Wenzie wa Moravian Mbeya walimtimua walipoona ni mdokozi wa sadaka
 
Haters......wewe ulikuwa unampinga Dr Hayati Magufuli kwa sababu ya chuki binafsi.

Maana ungekuwa wa maana usingechukia matendo ya Magufuli na kufurhianya Samia ili hali ni yale yale tu.

Siasa za Bongo mmejaa wanafiki na kutanguliza njaa, udini na ukabila.

Stuxnet ulimchukia Magufuli kwa sababu gani?
 
Mimi sipendi kupepesa macho hicho kilichotokea ni Vita vilivyokuwa vimelatibiwa kwa Mgongo wa Dini, yaani Viongozi wenye nasaba ya Dini ya kiisilamu waliamua kutumia nguvu ya madaraka waliokuwa nayo ili kuwaumiza Viongozi wa Chadema wenye mrengo wa Kikristo.

Inamaana kulikuwa na baraka zote kutoka kwa Rais ambaye ni Muisilamu ,kama mtu haamini aone Kama mwaka ujao kipindi Cha uchaguzi atuguswa Mzanzibar yeyote na jeshi la polisi kama miaka ya nyuma
 
Mimi sitaki kuunga mkono kwenye mambo ya kidini. Na sio muumini ktk mambo hayo na ninayapinga sana na kukwepa kwa namna yoyote kujadili jambo kwa misingi ya dini au kabila.

Lakini jambo Moja naloweza kukubaliana na wewe ni Kwamba Kule Zanzibar Kipindi cha Kikwete ndio kipindi ambacho Serikali ya Umoja Wa Kitaifa Ulifufuka. Tofauti kabisa na Madhira yaliyotokea enzi za Mkapa au Mwamba wa Kanda ya ziwa.
 
Huu ukweli ukitaka kuujua inabidi uwe na jicho la mwewe,zile vurugu zilizokuwa zikitokea Zanzibar kipindi kile kupitia jeshi la polisi tena zikilatibiwa kutoka bara basi kipindi hiki kibao kitageuka,na usitarajie hata chama cha Zito kabwe kama kitapata kashikashi yoyote ila mda utaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…