Askofu Mwamakula: Waraka wa Kichungaji kwa Rais Samia Baada ya Jeshi la Polisi Kuwapiga na Kuwaumiza Wapinzani Mbeya

Ngoja tusubiri Muda.
 
Raisi Samia katika kipindi cha utawala wake ameweza kuteka makundi yote, viongozi wa dini, wanawake, wanaume, vijana, waandishi wa habari, wana,ichezo, wasanii, wakulima, wafanya biashara, wasomi, vijana waliomaliza vyuo. Pia amejizolea umaarufu katika bara la Afrika, kwa sasa ndio Rais mwenye nguvu na ushawishi Afrika mashariki, nchi imetulia, nchi haina hofu, nchi ina amani ya kutosha. Lakini kutakuwa na watu wenye ajenda zao binafsi ili mama aonekane kiongozi mbaya mbele ya jamii ya watanzania na dunia nzima, ili kuhatarisha utali na mahusiano ya kimataifa. Tukio lile kama polisi wangesimamia mkutano wa chadema mkutano ungeisha kwa amani na utulivu bila hata watu wengi kujua kuwa Chadema walikuwa na mkutano, Rais wetu tunampenda, Mungu ndio alimpaa hiyo nafasi bila hata uchaguzi. 2025 atashinda kwa kishindo.
 
Duuuh!!
 
Huwa sikubaliani na neno kuchanganya dini na siasa. Alichokosea hapo n nn? Au yeye siyo raia? Siyo mpiga kura? Akae kimya ilhali anaona kuna tatizo. Mkibanwa na viongozi wenu wa dini kwamba mnafanya maovu mnawageuka viongozi wenu kwamba wanachanganya dini na siasa! Wewe hauna dini? Kama unayo mbona unachanganya na siasa basi acha dini. Pia tambua ni mafundisho potofu kwamba siasa ni uongo ulio karibu na ukweli, mara siasa mchezo mchafu si kweli! Muongo ni yule anayesema uongo kwenye siasa na anayefanya mchezo uwe mchafu ni mtu Kwa tamaa ya madaraka wakati huo hayawezi au kakataliwa na watu au kakataliwa na Mungu kuongoza watu.
 
Well said.
 
Wamecheza Dili la kuvuta allowance, over time na hela za mafuta. wamewawekea na mafuta Chadema Kwenye magari kuwarudisha kwao.
 
Umesema walaka usio na mashiko😂🥱
 

Mhashamu Askofu nisamehe Kwa hili! Mimi Tulia simuweki pembeni kwa hili kutokana na siasa za Mbeya na tabia zake binafsi. Nikirejea mikataba wa DPW aliojitahidi kuwa mmoja wa watu wa kushinikiza upitishwe maaskofu mkapiga kelele. Ukapita mlango wa nyuma ukasainiwa na mmoja kati ya Askofu akadhslilishwa na Mpoto. Pia issue ya sukari ya Luhaga Mpina. Pia yeye ni mwanasheria na hili limefanyika jimboni kwake sijasikia kauli yake ya kukemea au kusaport usimsemee ajisemee mwenyewe.
 
Mkuu nikumbushe askfu alieai bishwa na mpoto...
sikuipata hii?!
 
Hao wachungaji wakachunge mashoga wa kigalatia kuzuia mmomonyoko wa maadili ya nchi waliotulutea kutoka kwa papa.
Wanamuingiza Mabeyo kwenye udini wa kuwa alitumwa na Yesu kumfanya Samia kuwa Raisi,
Huu ndio udini unaoenezwa na wagalatia wapumbavu wa hii nchi.
 
Yaani huyu aliyetenda hili amewazalilisha mapolisi wote. Na uongozi ulio juu yake na watanzania wote. Anatufanya tuonekane kama manyangau
 
Hahahaha Sisi Askofu habari ndio ile
 
Poa poa tumekusikia. Haya jibu hoja za kwente Waraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…