Askofu Mwamakula: Waraka wa Kichungaji kwa Rais Samia Baada ya Jeshi la Polisi Kuwapiga na Kuwaumiza Wapinzani Mbeya

 
Hii inaonyesha kwamba Polisi si pamoja tena Bali kuna wale wenye uweledi likiongozwa na IGP na kundi la wahuni likilazimishwa kufanya uhuni na baadhi ya watu walio karibu na muhimili mkuu wa Nchi
 
Moja ya kazi za Kiongozi wa dini ni kutetea haki za watu! Kukemea,kuonya maovu ili watu waishi kwa amani.
Pia Kushauri wenye Mamlaka watende haki siyo kuonea watu.
Kwa hiyo kiongozi hawezi kuona watu wanapigwa,wanaonewa,wanadhurumiwa harafu akae kimya na kusikiliza mawazo ya wajinga eti kufanya hivyo ni kuchanganya dini na siasa! Na yeye atakuwa mjinga.
 
Ni haki yake kikatiba pia. Bora mtu anayekosoa kwa kuipenda nchi kuliko anayejipendekeza na kutuharibia nchi. Mtu unakuwa mteule wa raisi halafu badala kumsaidia kwa ukweli atuletee maono yake na maendeleo kwa waliomchagua unaanza kujipendekeza tu. Na ndio maana mama anawabadilisha badilisha tu. Naanza kuona why anafanya hivyo. Yaani kazi!
 
Kwa kesi hizi za polisi na vyama vya upinzani balance ya katiba ibara ya 18 na sheria ya 16 ya sheria ya makosa ya jinai. Vyama vyote including cha kwangu CCM Wakamatwe watu lkn iwe tu kwamba fujo imeshatokea kinyume na sheria au utaratibu. Sio kabla ya tukio lolote baya kutokea na wengine mpaka wako airport naina kama tutaonekana tunafuatilia watu.
 
Kama makanisa na miskikiti na jamii zingine za kidini zikikalia kimya mambo haya basi itakuwa ni wanafik kuhubiri habari njema bila kuwaonya viongozi hawa ambao UTU umewatoka..
Ni wakati sasa wao kusema ukweli mana watu wao wapo misikitini mwao kila uchwao..
 
Sababu hizi hapa:-

1. Kuua wakosoaji kama kina Ben Saanane

2. Kumiliki kikundi cha Wasiojuolikana

3. kudhulumu watu haki ya kuchagua (serikali za mitaa+kuu)

4. Kubambikiza watu kesi za uhujumu uchumi na kuwanyang'anya fedha zao

5. Kuanzisha plea bargain ya uwongo na kujikudanyia fedha yeye binafsi na DPP Biswalo

6. Sakata la bishasra ya korosho

7. kuvunjia watu nyumba, kimara mbezi bila fidia

8. Bias na kutokuwa considerate sakata la vyeti feki bila kuwagusa akina Bashite na yeye mwenyewe na PhD yake

9. Kauli mbaya na kutweza utu wa watu in public

10. Kutoheshimu katiba iliyomleta madarakani

11. Mishandling ya Covid - hasa second wave

12. Rushwa kwenye siasa (ili watu waunge mkono juhudi)

13. Kuligeuza bunge na mahakama kuwa kama nguo yake

14. Propaganda kali, uwongo na brainwashing

15. Kuharibu private sector

16. Kukataa kuendeleza mchakato wa katiba wakati iikuwemo kwenye ilani ya CCM 2015

17. Kuua private sector

18. White elephant projects za Chato tena wakati mwingine kukiwa hakuna fully participation ya bunge

19. Kutoongeza nyongeza za mishahara na kutoa stahiki za wafanyakazi zilizoko kwa mujibu wa sheria

20. TRA kubambika watu kodi
 
Yesu mwenyewe alichanganya hicho unachokiita siasa na dini. Siasa ndiyo inayobeba maisha yetu ya kila siku hapa duniani, haiepukiki.
 
Jadili hoja mkuu, hayo ya kwake muachie apambane nayo
 
Trump alichapwa risasi sijaona nakala za kipuuzi kama za huyu mhuni zikisambazwa duniniani.
Anyway kazisambaza kwa "bwana" zake
 
Jadili hoja mkuu, hayo ya kwake muachie apambane nayo
Mtu mwovu anapata wapi audacity ya kukosoa wengine? Hebu nionyeshe kama unajuwa kanisa lake lilipo
 

Ahsante sana askofu kwa waraka uliondikwa vema sana na kwa lugha ya kisomi na heshima kubwa sana.
Umewasilisha vema na watakao soma watailewa vema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…