Askofu Mwamakula: Waraka wa Kichungaji kwa Rais Samia Baada ya Jeshi la Polisi Kuwapiga na Kuwaumiza Wapinzani Mbeya

Chura
 

Huyu jamaa hana hata kanisa lakini amekomaa kujiita askofu, hakuna clip ya video moja inaonyesha anahubiri
Wenye dhehebu lai wanamjua usibeze Imani za watu no hatari
 
Hiki ndio kilinifanya sikurudi kanisani kuanzani 2016 hadi leo.
Makanisa mengi wanajali sadaka tu hawana habari na ustawi wa Watoa sadaka.

Tangu Kuumbwa Ulimwengi Dini na siasa havijawahi kukwepana.
nakubaliana na wewe 100%
 
Kwenye nakala wametisha
 
Walaka wa Paul kwa Timotheo.
 
Mara hii umesahau Kesi ya Ugaidi ya Mbowe?
 
Hekima ya Rais ione namna ya kuwatunuku au kuwapongeza Askari wa Jeshi la Polisi wale ambao walionesha matendo ya kiutu wakati wa ukamataji zilipotolewa amri za kupiga na watu na kuwaumiza watu.
Inaonekana hili tukio watu walichunguza sana kwa makini.
 
Great words from Great Men
 
Neno lenye uvuvio kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…