LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Huko CCM kuna mwanaume anagombea nafasi ya kundi maalum la wanawake Kibaha

LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Huko CCM kuna mwanaume anagombea nafasi ya kundi maalum la wanawake Kibaha

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wanabodi,

Wakuu kuhusu salamu, nitaacha nafasi hapo chini kwa vijana wa UVCCM waje waweke wasalimie.

Yaani kuna uroho wa madaraka alafu kuna uroho wa madaraka wa CCM

Hiyo si kauli ni kauli ya Mwanamapinduzi hii na ofcourse inafikirisha sana.

"Yaani mgombea mwanaume wa CCM anagombea nafasi ya kundi maalumu la wanawake Kibaha, hii ni dhuluma ya wazi wazi na haiwezi kukubalika hata kidogo"

CCM mmekuwaje lakini?

 
Back
Top Bottom