Askofu Mwanamapinduzi: Kuna watu Wawili wametumwa kuja kunipiga Risasi

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
819
Reaction score
1,093
Askofu Maximiliani Machumu (Mwanamapinduzi) wa Kanisa la Ufufuo na Uzima anasema kwamba kapata taarifa, kuna watu wametumwa kuja kumpiga risasi akiwa kanisani akipanda gari.

Amesema yeye haogopi kwenda Kusali kwani analindwa na Zaburi ya 91:10 "Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako
Your browser is not able to display this video.
 
Tulipofika ni pabaya sana
 
Kwakuwa wamejikabidhi hayo madaraka, acha wafanye watakacho ila yupo mlipa kisasi...hata kama hatutakuwepo tutaamini nao watakufa tutaenda mbele za Mungu pamoja pasi na yeyote kuwa na bunduki Wala bomu...tutajibu kwa tuliyoyatenda tulipokuwa duniani
 
Anapaswa kupigwa viboko kwa uzushi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…