#COVID19 Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona

Asante.

Kwa maana hiyo ina maana Kadinali ana cheo zaidi ya Askofu, hivyo sitashangaa huo uamuzi wa Askofu ukiondolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uamuzi uondolewe na nani wakati hakuna sheria ya kanisa iliyovunjwa tofautisheni kanisa katoliki na madhehebu yasio na utaratibu yeye ndio bosi wa jimbo lake ata papa hamuingilii kama havunji sheria za kanisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uamuzi uondolewe na nani wakati hakuna sheria ya kanisa iliyovunjwa tofautisheni kanisa katoliki na madhehebu yasio na utaratibu yeye ndio bosi wa jimbo lake ata papa hamuingilii kama havunji sheria za kanisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapa ndipo tatizo kubwa lililopo kanisa katoliki.Sheria za Kanisa hazotakiei kuwa juu ya sheria ya Mungu ambayo in Biblia.Biblia imeagiza watu wasiache kukusanyika kuabudu.Papa na Hugo askofu wanaagiza waumini wasikusanyike kuabudu Vatican na Jimbo la Rulenge Wapagani hao
Wamevunja sheria ya Mungu
 

Kwahiyo wewe unadhani unaijua biblia kulikoni Pope au Askofu?
 
Unajua dini wewe au unakariri bila ya kuwa na msingi wa imani?

Kristo alipoondoka Duniani aliacha mitume au aliacha Biblia?
 
Maamuzi OG
 
Kwenda kanisani ni Mungu aliyeagiza sio Askofu au papa.Kama in Maagizo ya Mungu papa na askofu hawana uwezo wala mamlaka ya kuzuia

Mungu aliagiza watu wasiache kukusanyika kumwabudu wao wanazuia makusanyiko ya kuabudu kama Nani?
Mungu alikupa akili ya kazi gani?
 
Katika Jimbo maamuzi ya mwisho anayo Askofu
 
Mwoga asiye na imani anaogopa kuwa Mungu atampa corona kwenye ibada!!!!! Kazi ya Mungu sio kugawa corona ibadani lioga hilo halina imani ndio maana limejifungia ndani.
Huoni hata aibu kuandika huu ujinga?
 
Mfalme gani anaye ua wenzie
 
We ndo mjinga kabisa
 
Askofu huyo akili hana alipo Mungu shetani hakajagi awe corona au Nani.Hana Mungu huyu Askofu na hajui uwezo Wa Mungu

Na hajui kanisani kuwa Mungu akiwepo hakuna corona

Askofu mpagani huyo
Usiparamie Mambo usiyoyajua, mpagani wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…