#COVID19 Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona

#COVID19 Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona

Uamuzi mzuri sana huu, tena umekuja kwa wakati sahihi. Safi 👏👏👏👏
 
Yani ulivyo tutusa unataka mimi niwaze kama wewe ?

Kwani papa anashindwa nini kuingilia?

Yanayoendelea Italy sio Tanzania

Usije ukafiri unauwezo mkubwa wa kuyatafakari mambo kumbe umejaa ujinga tu kichwani mwako

Shika adabu yako usinizoee

Hujioni ulivyokosa akili? Eti Papa aingilie kati. Yani umekaa kama kiroba hata hujui kinachoendelea huko alipo Papa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ulivyo tutusa unataka mimi niwaze kama wewe ?

Kwani papa anashindwa nini kuingilia?

Yanayoendelea Italy sio Tanzania

Usije ukafiri unauwezo mkubwa wa kuyatafakari mambo kumbe umejaa ujinga tu kichwani mwako

Shika adabu yako usinizoee

Sent using Jamii Forums mobile app
Nishakwambia huna akili na nimekuthibitishia kutokana na ujinga ulioshauri. Bad enough kubishana na mwehu kama wewe naona unanipotezea tu muda wangu.
 
Back
Top Bottom