#COVID19 Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona

Hapa ndipo tofauti ya 'baba askofu' na 'askofu' inaonekana.Ila labda amefikia malengo ya mapato, na wengine labda wanasubiri kutimiza malengo yao ya mapato. Ila wajue uchumi unashuka na mapato yao yatakuwa yanashuka.
Lengo la Askofu wa kweli ni kuhakikisha watu wanaenda kuabudu Mungu Kanisani ambako ndipo ipo altare au madhabahu

Kazi ya dini yeyote Ni kuhamasisha watu waabudu Mungu ukiona askofu anazuia watu kwenda kuabudu kanisani ambapo ndipo altare na madhabahu ipo huyo Ni kafiri na mpagani mkubwa awe papa au askofu Katoliki awe niwermugizi wa Katoliki au bagonza wa KKKT

Ni awamu nyingine ya kanisa kufanya matengenezo kutimua papa mhuni kafiri aliyepo papa Francis na maaskofu makafiri Kama huyu niwermugizi wa Katoliki na Pagani lingine la KKKT Askofu bagonza wanaozuia watu kwenda kuabudu kanisani

Hii mikafiri inabidi ipingwe na Kila mwabudu Kristo duniani bila kujali dhehebu liwe Roman Catholic ,Lutheran,sabato,Anglican,pentecoste,nk wote tusimame pamoja kuikemea hii mikafiri na mipagani
Huyo Askofu ni mpagani haelewi maana ya altare au madhabahu Ni nini na maana ya kuabudu Ni nini?
 
Kwa nini tupinge sisi, badala ya kumwachia Mungu suala hili?
 
Huyu askofu ni Noma, anafaa hata kua Baba mtakatifu.

Just imagine uamuzi Kama huu unaanzia Rulenge!!
 
Nakupongeza kwa uamuzi wako wa kufunga makanisa ya katoliki Jimboni kwako kwa sababu umeepusha vifo vingi ambavyo vingetokea kama usinge chukua hatua mapema.

Nakuombea udumu katika imani na uwe mchungaji bora kama ulivyoonyeha mfano.
 
Hakuna rekodi yeyote ya kifo kwa nyumba za dini ambazo hazikusitisha ibada " Bia yetu"
Huu ugonjwa ulipewa promo kubwa sana na tahadhari nyingi ukapelekea kujenga hofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi zote ambazo viongozi walipuuza ushauri wa wataalamu wa afya kuhusu corona, zilipata majanga makubwa. Rais wa Brazil ndio kiburi kuliko wote. Jumanne tu peke yake wamefariki watu elfu moja kwa Covid19, na bado.

Ila uzuri wake wenzetu wanatangaza. Huyu kichaa wetu kafunga maabara ya kupimia. Ana "maabara" yake binafsi inayompa data, anaweka mfukoni. Hongera sana "shujaa wetu" Magu.
 
Nakupongeza kwa uamuzi wako wa kufunga makanisa ya katoliki Jimboni kwako kwa sababu umeepusha vifo vingi ambavyo vingetokea kama usinge chukua hatua mapema.

Nakuombea udumu katika imani na uwe mchungaji bora kama ulivyoonyeha mfano.
Baba Askofu NiweMugizi hongera sana. Achana na hao manabii wa uwongo, hata kama wengine wana vyeo vya urais
 
Nchi zote ambazo viongozi walipuuza ushauri wa wataalamu wa afya kuhusu corona, zilipata majanga makubwa. Rais wa Brazil ndio kiburi kuliko wote. Jumanne tu peke yake wamefariki watu elfu moja kwa Covid19, na bado. Ila uzuri wake wenzetu wanatangaza. Huyu kichaa wetu kafunga maabara ya kupimia. Ana "maabara" yake binafsi inayompa data, anaweka mfukoni. Hongera sana "shujaa wetu" Magu.
Kila siku mnahitaja Brazil! Mbona nchi zilizokuwa na lockdown Kama US Ina vifo vya kutisha huzitaji?
 
Nchi zote ambazo viongozi walipuuza ushauri wa wataalamu wa afya kuhusu corona, zilipata majanga makubwa. Rais wa Brazil ndio kiburi kuliko wote. Jumanne tu peke yake wamefariki watu elfu moja kwa Covid19, na bado. Ila uzuri wake wenzetu wanatangaza. Huyu kichaa wetu kafunga maabara ya kupimia. Ana "maabara" yake binafsi inayompa data, anaweka mfukoni. Hongera sana "shujaa wetu" Magu.
Bila shaka huyo kichaa wenu ni huyo babaenu hapo kwenye familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom