YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Lengo la Askofu wa kweli ni kuhakikisha watu wanaenda kuabudu Mungu Kanisani ambako ndipo ipo altare au madhabahuHapa ndipo tofauti ya 'baba askofu' na 'askofu' inaonekana.Ila labda amefikia malengo ya mapato, na wengine labda wanasubiri kutimiza malengo yao ya mapato. Ila wajue uchumi unashuka na mapato yao yatakuwa yanashuka.
Kazi ya dini yeyote Ni kuhamasisha watu waabudu Mungu ukiona askofu anazuia watu kwenda kuabudu kanisani ambapo ndipo altare na madhabahu ipo huyo Ni kafiri na mpagani mkubwa awe papa au askofu Katoliki awe niwermugizi wa Katoliki au bagonza wa KKKT
Ni awamu nyingine ya kanisa kufanya matengenezo kutimua papa mhuni kafiri aliyepo papa Francis na maaskofu makafiri Kama huyu niwermugizi wa Katoliki na Pagani lingine la KKKT Askofu bagonza wanaozuia watu kwenda kuabudu kanisani
Hii mikafiri inabidi ipingwe na Kila mwabudu Kristo duniani bila kujali dhehebu liwe Roman Catholic ,Lutheran,sabato,Anglican,pentecoste,nk wote tusimame pamoja kuikemea hii mikafiri na mipagani
Huyo Askofu ni mpagani haelewi maana ya altare au madhabahu Ni nini na maana ya kuabudu Ni nini?