Hayo maneno ama kayasema Magu akiwa hoi, au Askofu kapewa ujumbe wa Magu kumbe Magu mwenyewe keshavuta. Ni watu waliandaa mazingira ya mazishi, ili Askofu amwage maombi bila kinyongoHapa kuna chai kidogo kwa hiyo alijuaje kwamba yeye atatangulia kufa amuache Askofu kiasi kwamba amwambie yeye ndo atamzika?
Marehemu akifa..!?Marehemu akifa atasingiziwa kila kitu
Huyo Askofu mbona yuko vizuri sana? Aliweka msimamo hadi Magu karudisha Passport. Huyu siyo Kakobe aliyeubga mkono juhudi ndio wakarudishwa PassportAtuambie pia tukio hilo lilimkumbusha nini juu ya kuwa yeye ni kiongozi wa kiroho, jamii na urai na kuhusu uzakendo wa Taifa lake.
Marehemu akifa atasingiziwa kila kitu
Ndiyo, baada ya kuunga mkono jitihada za kudai katiba mpya mwaka 2017...Kwan aliporwa passport uyo askofu
Huyo Askofu mbona yuko vizuri sana? Aliweka msimamo hadi Magu karudisha Passport. Huyu siyo Kakobe aliyeubga mkono juhudi ndio wakarudishwa Passport
Kwan aliporwa passport uyo askofu
Ipo hivi duniani kote! Acha kujidharau! Mambo mengine yaache usipasue kichwa.Kwa Imperial presidents like ours in stupid Africa
Nadhani concept inafahamika mapadri na Wachungaji uongoza ibada za mazishi ndio maana akasema atamzika.Hapa kuna chai kidogo kwa hiyo alijuaje kwamba yeye atatangulia kufa amuache Askofu kiasi kwamba amwambie yeye ndo atamzika?
Huyo Veronica France hajawahi kuwa na issue ya maana ni kulamba miguu tu.Huko FB kumechafuka! Sasa hizi fake account zitachafuana sana. Nimesoma tuhuma kwenye wall ya Veronica France huko FB sijui tutafikia wapi.
Na haikuwa cardiac arrest ilikuwa 'corona baby' mkombozi wa Mtanzania.
Am in love with this Virus!
Magonjwa Mtambuka Elitwege
"Hapa we msafiri"Aisee!
Sema mzee baba si ndo vile tena, hata ukimpa makavu hakusikii.
[emoji444][emoji445][emoji444]Nyumba yangu leo, ni chini udongoni
Hakuna mlango,
Hakuna madirisha
Kitanda changu, nalo blangeti langu,
Wameninyang'anya hata senti moja.
[emoji444][emoji445][emoji445][emoji445]
Tuishi kwa upendo.
kwa hiyo Askofu Niwemugizi anataka ahongwe Passport ili amuzike Magufuli au? Mla rushwa mkubwaUnatengeneza tatizo halafu unalitatua chap.
Teuzi za kusifu na kuabudu zitakuwepo? Unamsifia kisha anakupa cheo
Pole sana mnyonge, raisi wa wanyonge hayupo tena
Tafuta mkate unywe.Chai kama Chai.
Huenda alikuwa chiziUkiyachukulia kwa umakini sana maneno ya Magufuli utapata tabu.
ILE ILIKUWA NI HULKA YAKE.
KWA NINI TUFIKE HUKU KOTEAskofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli aliagiza arejeshewe hati yake ya kusafiria na alimtamkia mara mbili kuwa kiongozi huyo wa kiroho ndiye atakayemzika.
Akizungumza leo Alhamisi Machi 25, 2021 katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato, Askofu Niwemugizi ambaye hakutaja muda maalum wa agizo la kurejeshewa hati hiyo, amesema Magufuli aliagiza idara ya uhamiaji kumrejeshea.
"Kwa kweli niwaambie mara mbili, Magufuli aliniambia, ‘wewe ni Askofu wangu utanizika. Mwaka ule 2015 akaniambia hivyo, mara ya pili akamwagiza Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anirudishie passport akaniambia wewe ni Askofu wangu utanizika.”
Wasalaamaidi, soma: Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake
Ipi?Ukiyachukulia kwa umakini sana maneno ya Magufuli utapata tabu.
ILE ILIKUWA NI HULKA YAKE.