Askofu Niwemugizi: Rais Samia sikiliza maoni ya watu hata yale yasiyokufurahisha

Askofu Niwemugizi: Rais Samia sikiliza maoni ya watu hata yale yasiyokufurahisha

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kutojitukuza na badala yake kutoa nafasi ya kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama hayafurahishi masikioni.

Ushauri huo wa Askofu Niwemugizi ni sehemu ya hotuba yake katika Maadhimisho ya Jubilee ya Miaka 25 ya upadre, hafla iliyofanyika wilayani Ngara mkoani Kagera ambapo Rais Samia alikuwa mgeni rasmi.

PIA SOMA:
- Askofu Niwemugizi amuomba Rais Samia asikubali kufananishwa na Mungu
 
Usimzuie kuongea!
aanzishe uzi wake maana maudhui ya post yake hayana uhusiano na wito wa Askofu kwa serikali. Yaani anataka kulazimisha kile anachokiona kama 'uchafu' wa Askofu kizuie watu wasiunge mkono ujumbe wa askofu kwa serikali. Ameshaweka post nyingi kama hizi kwenye nyuzi zinazohusu mada hii, nyingine zimefutwa na nyingine anazirudisha.

cc: fimboyaasali
 
Usijidai mjuaji ukatutoa kwenye mada. Mada kuu ni ujumbe wa Askofui kwa serikali. Hayo mengine ni stori za kuzima mjadala
Askofu mwenyewe katoa ujumbe kua tutoe nafasi ya kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama hayafurahishi masikioni, why Jazba?
 
Askofu mwenyewe katoa ujumbe kua tutoe nafasi ya kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama hayafurahishi masikioni, why Jazba?
Huyu anataka kuzima sauti ya Askofu, ndio maana nimemwambia aianzishie uzi wake ili hii ionekane bila kuingiliwa
 
Askofu mwenyewe katoa ujumbe kua tutoe nafasi ya kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama hayafurahishi masikioni, why Jazba?
Hajakatazwa kutoa maoni bali anatakiwa afungue uzi wake ndio aandike huo umbea wake.
 
Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kutojitukuza na badala yake kutoa nafasi ya kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama hayafurahishi masikioni.
Ujumbe kuntu sana huu. Rais Samia ananiudhi kwa mambo mawili tu. Nayo ni kushupaza shingo kuhusu:-
(a) kesi ya Mbowe
(b) katiba mpya.
 
Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kutojitukuza na badala yake kutoa nafasi ya kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama hayafurahishi masikioni...
Hili sio jiwe gizani. Ni jiwe moja kwa moja kwenye Target
 
Back
Top Bottom