Na nyinyi waumini wa Kkkt, sijui moravian, sijui Anglican lazima mkubali ukweli kwamba kanisa la kweli ni moja tu Roman Catholic, makanisa mengine yote ni biashara za watu za kupiga wajinga pesa.
Ukweli utawaweka huru kuliko kila siku mnalialia kwamba Malasusa anatumika na watawala.