Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
Uchaguzi wa 2018 ndio upi huo manka?!
Jiongeze... Keyboard error
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi wa 2018 ndio upi huo manka?!
Kazi anayofanya askofu, au kiongozi yeyote wa dini mkweli, anayetambua kwamba Mungu ni Mungu wa haki, kazi yake ni kubwa hata kuliko kubeba zege. Hapa Siongelei wachumia tumbo.
Nisome vizuri utanielewa. Hapo mwisho nimesema siongelei wachumia tumbo. Nipo pamoja na wale wanaosimamia haki, bila kuogopa cheo cha mtu, rangi yale na hata kabila lake.Ila aguswi na ugumu Wa Maisha,mbona akutoa neno juu wagombea kupita bila kupingwa hakuona haki ya watu kuchagua imekiukwa
Ingekuwa enzi za mkwele wangezoza balaa! Kweli zimwi likujualo.......
Huku nikutudhalilisha wakatoliki
Yaani nasikia aibu sana mimi kuitwa mkatoliki
Hawa viongozi hovyo sana.
Badala ya kukemea maovu, wanakumbatia waovu
Wakapige wao mapadre mimi nafamilia yangu marufuku
Historia ya kanisa katoriki imejaa damu nyuma ya mapazia, hata Rwanda kanisa katoliki lilikuea na udhaifu wake mpaka yaliyoyokea yakatokea.Ndio maana hata akina Lowasa walikataliwa kisa si wakatoliki. Hawa watu wanapashwa kubadilika vinginevyo wanaharibu.
Kakupita wewe?[emoji12]Huyo askofu mbumbavu mmoja tu
Kuwahimiza watu kushiriki uchaguzi huu ni kuunga mkono utumwa. Huyu ni askofu mawenge...
Unakuwa umeminya haki ya raia tunayoiita the right to deliberative justification of policies.
Na utumwa ni uovu dhidi ya utu. Askofu ametenda dhambi kubwa sana huku akiwa anaongozwa na fungu la 536 la sheria za kanisa katoliki (1983).
Ni
Kanisa lililobaki la kweli KKKT haya mengine yamemezwa na mtawala
Mfanya kosa hataki kukubali kosa...!!! Hataki hata kusikiliza hoja za mlalamikaji Unazan kutakuwa na uelewano kwel..!!? Kama wanaona waliosusia uchaguzi wamekosea bas wasikilize hoja zao na malalamiko yao na achunguzwe kisha suruhu.... Sasa hawataki hata kuyasikiliza Unazan kipi kingefata....!!! Achen tule na tulale tkiamka Salama bas tusimulie tulioyaona na kuyaota kwa wajaoBaba Askofu yuko sahihi kusema aliyosema kwa nafasi yake kama kiongozi. Huwezi kutafuta haki kwa mazingira ya kususa. Ubaya husuluhishwa kwa wema.
"Madicteta Bwana!!! ujipenyeza kila sehemu.
Miskitini, Makanisani, Jeshini na idara zote za kiserikali na kijamii na vyombo vya habari
Ila uwa sio popular kwa wananchi na dawa ya madicteta uwa ni maandamano yasiyo na kikomo." Mimi ni mkatoliki pure but toka aingie Magufuli madarakani kanisa linafanya mambo mengi ya aibu na ya kipumbavu niwaambie tu viongozi misimamo yao sio misimamo ya sisi wananchi wakatoliki tunataka haki itendeke uyu itakuwa kahongwa sio bure.
Niliwahi kueleza hapa jukwaani taarifa kutoka kwa Askofu mmoja kutoka inner circle ya Kanisa Katoliki. Mimi pia ni mkatoliki halisi wa imani aliyewahi kuhudumu ndani ya kanisa.
Askofu yile alieleza kuwa Kanisa Katoliki, baada ya waraka wa kwaresma, ulioeleza mapungufu mengi ya watawala wa awamu hii, uhusiano wake na mtawala mkuu ulififia sana kufikia hatua ya kujenga uadui. Inner circle ya Kanisa waliazimia kuurudisha uhusiano huo uliokuwa umezoeleka.
Hatua ya kwanza ilikuwa kumpata Rais wa TEC ambaye ana mahusiano binafsi ya karibu na mtawala, na huyo hakuwa mwingine bali huyu Rais wa TEC wa sasa. Hilo lilifanikiwa.
Na ninarudia tena, chini ya uongozi wa sasa wa TEC, msitegemee kauli yoyote ile kutoka TEC itakayokuwa kinyume na matakwa ya watawala. Kanisa, kama lilivyo bunge na mahakama, wamejumuishwa. Mark my words.
Mimi niliyasikia haya wakati wa kipindi cha kumpata Rais mpya wa TEC. Jambo la kujiuliza, hivi hizi dini zetu zipo kwaajili ya imani au maslahi fulani? Ni dini au watu fulani ndio wanaozifanya dini kuwa syndicate ya matakwa binafsi ya watu fulani?