Hivi viongozi wetu wa kanisa hawaoni/ hawakuona rafu za uandikishaji na urudishaji wa fomu? Inatia hasira nadhani kuna haja wazirejee tafakari za haki na amani.
Wanna uhakika wa Maisha wao na familia yao watayaonea wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi viongozi wetu wa kanisa hawaoni/ hawakuona rafu za uandikishaji na urudishaji wa fomu? Inatia hasira nadhani kuna haja wazirejee tafakari za haki na amani.
Askofu amewapa somo Kazi kwao
Niliwahi kueleza hapa jukwaani taarifa kutoka kwa Askofu mmoja kutoka inner circle ya Kanisa Katoliki. Mimi pia ni mkatoliki halisi wa imani aliyewahi kuhudumu ndani ya kanisa.
Askofu yile alieleza kuwa Kanisa Katoliki, baada ya waraka wa kwaresma, ulioeleza mapungufu mengi ya watawala wa awamu hii, uhusiano wake na mtawala mkuu ulififia sana kufikia hatua ya kujenga uadui. Inner circle ya Kanisa waliazimia kuurudisha uhusiano huo uliokuwa umezoeleka.
Hatua ya kwanza ilikuwa kumpata Rais wa TEC ambaye ana mahusiano binafsi ya karibu na mtawala, na huyo hakuwa mwingine bali huyu Rais wa TEC wa sasa. Hilo lilifanikiwa.
Na ninarudia tena, chini ya uongozi wa sasa wa TEC, msitegemee kauli yoyote ile kutoka TEC itakayokuwa kinyume na matakwa ya watawala. Kanisa, kama lilivyo bunge na mahakama, wamejumuishwa. Mark my words.
Mimi niliyasikia haya wakati wa kipindi cha kumpata Rais mpya wa TEC. Jambo la kujiuliza, hivi hizi dini zetu zipo kwaajili ya imani au maslahi fulani? Ni dini au watu fulani ndio wanaozifanya dini kuwa syndicate ya matakwa binafsi ya watu fulani?
Huyo siyo mtumishi wa Mungu aliye hai, Bali anslitumikia tumbo lakeNimesikiliza mahubiri ya Askofu Mkuu na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tz,Mhashamu Askofu Nyaisonga, ameelekeza lawama zake katika vyama vya upinzani,akijenga hoja kuwa havikutumia busara na elimu katika kufikiri na kujitoa katika uchaguzi.
Amehimiza kuwa kujitoa sio suluhu,wanapaswa kukaa meza moja na serikali kutatua hiyo changamoto,amesisitiza kuwa waliojitoa wamekosea,hivyo kasema msimamo wa maaskofu Wakatoliki ni kutokubaliana na kusisia uchaguzi,na wamehimiza waumini kujitokeza wa wingi jumapili kupiga kura.
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Peter O'bay naye amehubiri kile alichotumwa na wakubwa zake, kuhimiza watu wajitokeze kwa wingi katika uchaguzi, hii ni kusema, kanisa katoliki linaungana na Polepole, Jafo na TAMISEMI kuubariki uchaguzi wa serikali za mitaa ambao mchakato wake umejaa utata mtupu,utata ambao hata makada wazoefu wa CCM wanaona aibu kwa yaliyotokea. Hili ndio kanisa Katoliki na msimamo wake umetangazwa na Rais wa TEC. Kanisa limeridhika na mchakato, halitaki kugombana na serikali, limewakana waumini wake waliogoma toka mwanzo kujiandikisha kwa kuona ubovu wa demokrasia kwa sasa.
Katika maandishi ya kitabu cha "How The Church and Government Got The Same Bed", mwandishi alijaribu kuelezea kwa undani jinsi kanisa, na hasa kanisa la Vatican wakati mwingi lilivyoshiriki kuungana na serikali katika kuisaidia kufikia adhma yake, mwandishi ameeleza nafasi ya wamisionari katika kuitawala Afrika, jinsi walivyotangulia na kuwatengenezea njia wakoloni, kuanzia Congo ya DR mpaka Afrika ya Kusini,Kaskazini na Mashariki ya Afrika. Mwandishi anasema kanisa huangalia kwanza maslahi ya viongozi wake kabla ya waumini wake.
Inaelezwa kuwa wakati wa utawala wa Kifashisti kule Italia, Mussolini aliona tishio la Kanisa Katoliki ktk kufikia malengo yake. Maana kwa wakati ule, kanisa lilikuwa na ushawishi wa kila sekta ya maisha ya kiroho na kimwili na serikali ilikuwa na ushawishi mdogo tu ya maisha ya kisiasa.
Alichokifanya Mussolin ni kujipendekeza kwa kanisa na kutoa "rushwa" ili yote atakayoyafanya kanisa katoliki lililokuwa na nguvu sana Italia libaki kimyaa.Na Alifanikiwa...
Kwanza aliamua kumbatiza mwanae wa kiume, ambaye hapo awali hakuwa amebatizwa.Hapa akaliteka kanisa kwa karata ya kwanza.
Pili alimua kufunga ndoa ya kikanisa,baada ya kuwa amekaa miaka 11 na ndoa ya bomani na mkewe Rachele.Hii ikawa karata ya pili ya kujisogeza na kujiweka karibu na kanisa ili kutimiza malengo yake ya ufashisti.
Karata nyingine;aliamuru kufungwa kwa maduka yote ya vileo(wine shops) na kufuta leseni za clubs zote za usiku ili kuendana na kauli ya kanisa ya kupunguza uovu mitaani kwa ulevi na anasa za usiku.Hapa kanisa katoliki likanasa mtegoni.
Alienda mbali mpaka akatangaza kuwa "Public Swearing",yaani kujiapiza hadharani jina la Mungu kama "Public Crime"...Yaani mwananchi ukiwa mtaani mnabishana,mtu akikwambia sema Haki ya Mungu...Ukisema tu "Haki ya Mungu sijaenda nyumba ndogo mwezi wa pili sasa".Basi ujue wewe una kesi ya jinai ya kujibu.Hapa alitaka kulifurahisha kanisa kwa amri ile isemayo "Usitaje bure jina la bwana Mungu wako"
Mussolini akaamuru kupigwa marufuku vidonge vya majira na kampeni zote za matumizi ya uzazi wa mpango kama ulivyo msimamo wa kanisa.Wakati huo kanisa lilitaka wanawake wabaki nyumbani ili kulea watoto na kukuza familia vyema.Mussolini akalipigia chapuo hili na kulitungia sheria ili kuwafurahisha wazee wa kanisa.
Akatunga sheria ambayo ilifutilia mbali talaka kwa ndoa hata za bomani.Hii ilikuwa ni njia ya kuungana na kanisa ktk ndoa ya mke mmoja na isiyo na talaka mpaka Mungu awatenganishe.Ndoano hii ikanasa vizuri kwa kanisa.Hawakupepesuka wala kutikisika.Mambo yote ya ndoa yakaondolewa serikalini na kubaki kuwa in "Full Control of the Catholic Church".Wale wapenda mteremko wa ndoa za bomani wakakosa pa kwenda.
Akatoa 109 acres ktk mji wa Roma ili yajengwe makao makuu ya Papa(Vatican) baada ya kuwa yalipokonywa wakati wa "Unification of Italy" ya miaka ya 1870's,na akatoa amri kanisa lilipwe zaidi ya £130 milioni kwa wakati ule.Hii ilikuwa ni ndoano iliyoingia sawasawa kwa kanisa,na kanisa halikusema lolote juu ya "ufashisti" wa Mussolini hadharani;japo liliouona na kuuhisi kwake na kwa waumini wake.
Vatican ikawa nchi ndani ya mji,wakapewa mamlaka juu ya Post Office,jeshi dogo,polisi na "Rail station".Baada ya hapo,ugomvi ukawa ni nani anatakiwa ku-control Elimu?Mussolini alihitaji sekta ya elimu ili apandikize "ufashist" kwa watoto,na kanisa lilitaka elimu ili kupandikiza imani ya kikatoliki kwa watoto.
Mambo haya yote ambayo baadae,waumini wasio rasharasha waliona ni kama rushwa kwa kanisa ili liweze kusifia na kukaa kimya juu ya serikali ya kifashisti ya Mussolin yalifanikiwa.
Si ajabu Papa John Paul II alikuja kuiomba jumuiya ya waumini na wasio waumini ktk jubilei ya miaka 2000 ya Ukristo kwa yale yote kanisa iliyoyakosea ktk kukuwa kwake.Hili la kuukumbatia uonevu wa serikali isiyojali usawa ya Mussolini lilikuwa ni moja ya kosa la Kanisa.
Hakukuwa na Kardinali,askofu wala kasisi(padre) aliyeikemea serikali isiyo ya kidemokarasia ya Utawala wa Mussolini.Mengi yalitokea na kanisa lilikaa kimyaaa.Waumini waliteseka,waliumia na walipata machungu ya maisha...Lakini kanisa lilisema hewalaaa,huu ni utawala mzuri tu,maana umerudisha heshima ya Papa katika nchi ya Italia.
Hatumaanishi kuwa sasa Tanzania tuna ufashisti,lakini tunakubaliana kuwa kwa sasa Tanzania maisha ya chuki za kisiasa,mienendo ya kidemokrasia na ushiriki wa watu katika siasa huru umekengeuka sana.
Kuwa baba wa kiroho na kuongea kinyume cha yale waumini wako ambao ni sehemu ya wananchi wa Tanzania wanalalamika,ni kuwa upande wa pili badala ya ule wa waumini wako.
Ndio maana wale wanafunzi wa historia ya kale,wanaweza kustuka na kuona kuwa kanisa linaendelea kuwa upande tofauti na wanaoonewa.Kanisa libaki kuwa mali ya waumini wanyonge,liachane na urafiki wa mashaka kama ule wa Mussolini na Vatican enzi hizo za zama za giza za Ulaya.
Kama kanisa la wakati huo lilibaki kimya juu ya ufashisti wa Benitho Mussolini,hili la kwetu la Tanzania,lisibaki kimya juu ya uonevu wa kidemokrasia,vurugu za kuinajisi demokrasia unaonekana kufanywa waziwazi kabisa na serikali.Kutoa kauli za aina hii hadharani,mbele ya mimbari na katika altare takatifu,inatupa mashaka na tutaamua kurudi na kupekua kurasa za kitabu cha "How The Church and Government Got The Same Bed"
Tukizifunua kurasa hizi;Tutahitimisha kwa kusema,Rais wa TEC amesimama upande wa serikali,amesimama na wanaodhaniwa kuminya demokrasia na mizizi yake,taswira ya waumini ambao ndio raia wenyewe kutokupendezwa na haya yanayoendelea haujaletwa na vyama vya upinzani,maana waumini walianza kugoma kujiandikisha mpaka pale walipohimizwa kwa lazima.
Hizi ni dalili kuwa si tu hatua ya kugomea uchaguzi imeasisiwa na vyama pinzani,bali ilishaanza kutendwa na waumini ambao ndio wapiga kira wenyewe.
Tutamkumbusha RAIS WA TEC na Askofu Mkuu wa Mbeya Nyaisonga kuwa kuutumikia mwili ni gharama zaidi ya kuitumikia roho.Ndio maana Lugha Mama ya Kanisa ya Kilatini ikasema "Nemo Liber Est Qui Corpori Servit"(No One is Free who is a slave of his body)
Tuitumikie Roho inayodumu milele,kuliko mwili unaooza na kuliwa na nyenyere.
Askofu ni kula kulala mnufaika wa sadaka zetu hivo ajui chochote wala hana uchungu wowote,angekuwa anabeba zege asingetamka hayo
Yeyote mwenye akili timamu atashangaa!Nimesikiliza mahubiri ya Askofu Mkuu na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tz,Mhashamu Askofu Nyaisonga, ameelekeza lawama zake katika vyama vya upinzani,akijenga hoja kuwa havikutumia busara na elimu katika kufikiri na kujitoa katika uchaguzi.

Mi nashauri mkatoliki asienda kupiga kura atengwe na kanisa
Mbona hili kanisa halikujitokeza kuhamasisha waumini wakajiandikishe kupiga kura?!Akiwa katika Jimbo Katoliki la Shinyanga kuhudhuria Misa ya Jubilei ya kutimiza miaka 25 ya Upadre wa Padre Sangu Rais wa Baraza la Maaskofu (TEC) amewataka wakatoliki kuwapuuza baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wanaohubiri mgomo wa kugomea zoezi la uchaguzi wa viongozi ngazi ya serikali za mitaa utarajiwao kufanyika hivi karibuni.
Rais huyo wa TEC amekemea tabia ya Wanasiasa wasio na nia njema kwa taifa kwa kuhubiri uovu wa kugomea chaguzi zinazoandaliwa na serikali.
My take: Haya sasa wenye yao dunia wamenena!
Siamini kama kanisa langu ndilo lililoamua hivyo.ina maana kanisa halikuona kabisa jinsi wagombea wa upinzani walivyoenguliwa?Kwa nini halikuishauri serikali kutumia busara wakati huo?ingelikua enzi za mkwele sasa hivi ungeshatoka waraka wa kichungaji na kila jumapili mahubiri yangekua ni serikali kuharibu uchaguzi Mkuu.Nimesikiliza mahubiri ya Askofu Mkuu na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tz,Mhashamu Askofu Nyaisonga, ameelekeza lawama zake katika vyama vya upinzani,akijenga hoja kuwa havikutumia busara na elimu katika kufikiri na kujitoa katika uchaguzi.
Amehimiza kuwa kujitoa sio suluhu,wanapaswa kukaa meza moja na serikali kutatua hiyo changamoto,amesisitiza kuwa waliojitoa wamekosea,hivyo kasema msimamo wa maaskofu Wakatoliki ni kutokubaliana na kusisia uchaguzi,na wamehimiza waumini kujitokeza wa wingi jumapili kupiga kura.
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Peter O'bay naye amehubiri kile alichotumwa na wakubwa zake, kuhimiza watu wajitokeze kwa wingi katika uchaguzi, hii ni kusema, kanisa katoliki linaungana na Polepole, Jafo na TAMISEMI kuubariki uchaguzi wa serikali za mitaa ambao mchakato wake umejaa utata mtupu,utata ambao hata makada wazoefu wa CCM wanaona aibu kwa yaliyotokea. Hili ndio kanisa Katoliki na msimamo wake umetangazwa na Rais wa TEC. Kanisa limeridhika na mchakato, halitaki kugombana na serikali, limewakana waumini wake waliogoma toka mwanzo kujiandikisha kwa kuona ubovu wa demokrasia kwa sasa.
Katika maandishi ya kitabu cha "How The Church and Government Got The Same Bed", mwandishi alijaribu kuelezea kwa undani jinsi kanisa, na hasa kanisa la Vatican wakati mwingi lilivyoshiriki kuungana na serikali katika kuisaidia kufikia adhma yake, mwandishi ameeleza nafasi ya wamisionari katika kuitawala Afrika, jinsi walivyotangulia na kuwatengenezea njia wakoloni, kuanzia Congo ya DR mpaka Afrika ya Kusini,Kaskazini na Mashariki ya Afrika. Mwandishi anasema kanisa huangalia kwanza maslahi ya viongozi wake kabla ya waumini wake.
Inaelezwa kuwa wakati wa utawala wa Kifashisti kule Italia, Mussolini aliona tishio la Kanisa Katoliki ktk kufikia malengo yake. Maana kwa wakati ule, kanisa lilikuwa na ushawishi wa kila sekta ya maisha ya kiroho na kimwili na serikali ilikuwa na ushawishi mdogo tu ya maisha ya kisiasa.
Alichokifanya Mussolin ni kujipendekeza kwa kanisa na kutoa "rushwa" ili yote atakayoyafanya kanisa katoliki lililokuwa na nguvu sana Italia libaki kimyaa.Na Alifanikiwa...
Kwanza aliamua kumbatiza mwanae wa kiume, ambaye hapo awali hakuwa amebatizwa.Hapa akaliteka kanisa kwa karata ya kwanza.
Pili alimua kufunga ndoa ya kikanisa,baada ya kuwa amekaa miaka 11 na ndoa ya bomani na mkewe Rachele.Hii ikawa karata ya pili ya kujisogeza na kujiweka karibu na kanisa ili kutimiza malengo yake ya ufashisti.
Karata nyingine;aliamuru kufungwa kwa maduka yote ya vileo(wine shops) na kufuta leseni za clubs zote za usiku ili kuendana na kauli ya kanisa ya kupunguza uovu mitaani kwa ulevi na anasa za usiku.Hapa kanisa katoliki likanasa mtegoni.
Alienda mbali mpaka akatangaza kuwa "Public Swearing",yaani kujiapiza hadharani jina la Mungu kama "Public Crime"...Yaani mwananchi ukiwa mtaani mnabishana,mtu akikwambia sema Haki ya Mungu...Ukisema tu "Haki ya Mungu sijaenda nyumba ndogo mwezi wa pili sasa".Basi ujue wewe una kesi ya jinai ya kujibu.Hapa alitaka kulifurahisha kanisa kwa amri ile isemayo "Usitaje bure jina la bwana Mungu wako"
Mussolini akaamuru kupigwa marufuku vidonge vya majira na kampeni zote za matumizi ya uzazi wa mpango kama ulivyo msimamo wa kanisa.Wakati huo kanisa lilitaka wanawake wabaki nyumbani ili kulea watoto na kukuza familia vyema.Mussolini akalipigia chapuo hili na kulitungia sheria ili kuwafurahisha wazee wa kanisa.
Akatunga sheria ambayo ilifutilia mbali talaka kwa ndoa hata za bomani.Hii ilikuwa ni njia ya kuungana na kanisa ktk ndoa ya mke mmoja na isiyo na talaka mpaka Mungu awatenganishe.Ndoano hii ikanasa vizuri kwa kanisa.Hawakupepesuka wala kutikisika.Mambo yote ya ndoa yakaondolewa serikalini na kubaki kuwa in "Full Control of the Catholic Church".Wale wapenda mteremko wa ndoa za bomani wakakosa pa kwenda.
Akatoa 109 acres ktk mji wa Roma ili yajengwe makao makuu ya Papa(Vatican) baada ya kuwa yalipokonywa wakati wa "Unification of Italy" ya miaka ya 1870's,na akatoa amri kanisa lilipwe zaidi ya £130 milioni kwa wakati ule.Hii ilikuwa ni ndoano iliyoingia sawasawa kwa kanisa,na kanisa halikusema lolote juu ya "ufashisti" wa Mussolini hadharani;japo liliouona na kuuhisi kwake na kwa waumini wake.
Vatican ikawa nchi ndani ya mji,wakapewa mamlaka juu ya Post Office,jeshi dogo,polisi na "Rail station".Baada ya hapo,ugomvi ukawa ni nani anatakiwa ku-control Elimu?Mussolini alihitaji sekta ya elimu ili apandikize "ufashist" kwa watoto,na kanisa lilitaka elimu ili kupandikiza imani ya kikatoliki kwa watoto.
Mambo haya yote ambayo baadae,waumini wasio rasharasha waliona ni kama rushwa kwa kanisa ili liweze kusifia na kukaa kimya juu ya serikali ya kifashisti ya Mussolin yalifanikiwa.
Si ajabu Papa John Paul II alikuja kuiomba jumuiya ya waumini na wasio waumini ktk jubilei ya miaka 2000 ya Ukristo kwa yale yote kanisa iliyoyakosea ktk kukuwa kwake.Hili la kuukumbatia uonevu wa serikali isiyojali usawa ya Mussolini lilikuwa ni moja ya kosa la Kanisa.
Hakukuwa na Kardinali,askofu wala kasisi(padre) aliyeikemea serikali isiyo ya kidemokarasia ya Utawala wa Mussolini.Mengi yalitokea na kanisa lilikaa kimyaaa.Waumini waliteseka,waliumia na walipata machungu ya maisha...Lakini kanisa lilisema hewalaaa,huu ni utawala mzuri tu,maana umerudisha heshima ya Papa katika nchi ya Italia.
Hatumaanishi kuwa sasa Tanzania tuna ufashisti,lakini tunakubaliana kuwa kwa sasa Tanzania maisha ya chuki za kisiasa,mienendo ya kidemokrasia na ushiriki wa watu katika siasa huru umekengeuka sana.
Kuwa baba wa kiroho na kuongea kinyume cha yale waumini wako ambao ni sehemu ya wananchi wa Tanzania wanalalamika,ni kuwa upande wa pili badala ya ule wa waumini wako.
Ndio maana wale wanafunzi wa historia ya kale,wanaweza kustuka na kuona kuwa kanisa linaendelea kuwa upande tofauti na wanaoonewa.Kanisa libaki kuwa mali ya waumini wanyonge,liachane na urafiki wa mashaka kama ule wa Mussolini na Vatican enzi hizo za zama za giza za Ulaya.
Kama kanisa la wakati huo lilibaki kimya juu ya ufashisti wa Benitho Mussolini,hili la kwetu la Tanzania,lisibaki kimya juu ya uonevu wa kidemokrasia,vurugu za kuinajisi demokrasia unaonekana kufanywa waziwazi kabisa na serikali.Kutoa kauli za aina hii hadharani,mbele ya mimbari na katika altare takatifu,inatupa mashaka na tutaamua kurudi na kupekua kurasa za kitabu cha "How The Church and Government Got The Same Bed"
Tukizifunua kurasa hizi;Tutahitimisha kwa kusema,Rais wa TEC amesimama upande wa serikali,amesimama na wanaodhaniwa kuminya demokrasia na mizizi yake,taswira ya waumini ambao ndio raia wenyewe kutokupendezwa na haya yanayoendelea haujaletwa na vyama vya upinzani,maana waumini walianza kugoma kujiandikisha mpaka pale walipohimizwa kwa lazima.
Hizi ni dalili kuwa si tu hatua ya kugomea uchaguzi imeasisiwa na vyama pinzani,bali ilishaanza kutendwa na waumini ambao ndio wapiga kira wenyewe.
Tutamkumbusha RAIS WA TEC na Askofu Mkuu wa Mbeya Nyaisonga kuwa kuutumikia mwili ni gharama zaidi ya kuitumikia roho.Ndio maana Lugha Mama ya Kanisa ya Kilatini ikasema "Nemo Liber Est Qui Corpori Servit"(No One is Free who is a slave of his body)
Tuitumikie Roho inayodumu milele,kuliko mwili unaooza na kuliwa na nyenyere.
Mhehe mwenzako huyo kama RC wa Mbeya ChalamilaNaunga mkono 100% kauli ya baba Askofu Nyaisonga!
Kumbuka Askofu Ruwaichi alitumiwa ndege kumchumkua huko KCMC Hospital na kumleta hapa Dar kupata matibabu kwa maelekezo ya rais. Katika mazingira hayo unategemea kanisa la Roma liwe upande wa haki au la wanaowalinda viongozi wake?
Akapige yeye na wenzako.
Maana wanashibishwa na yatokanayo magogoni
Nasadaka yangu from now sintatoa kanisani