chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Najiuliza sana kuhusu huyu askofu lakini makosa jibu.
Askofu Pengo alikuwa mtu wa karibu sana wa waandamizi wa awamu ya tano. Wakati huo hakufungua mdomo wake kukemea chochote kile, japo baadhi ya watanzania, na pengine waumini wake aliowabatiza na kuwahibiria upendo, waliokotwa ndani ya viroba wakiwa wameuwawa.
Askofu Pengo mara kadhaa ameonekana akimuombea aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, Makonda, na wamekuwa wakitembeleana na kupiga picha.
Huu uzalendo ameutolewa wapi na ghafla hivi!
Juzi tu tuliambiwa ni mgonjwa, Leo anaongea kwa nguvu sana kama kuna kitu kimempa afya ya ghafla!
Ngoja maharage yarukeruke, yataiva tu. Pengo na wenzake tiwaache warukeruke, tutajua ya chini ya kapeti