Mhadhama kadinali pengo,heshima kwako,kama ulivyokemea tamko la maaskofu kuwataka wananchi kuipigia kura ya hapana katiba pendekezwa,tunakuomba uikememee serikali kwa matangazo yao na wito wao kupitia vyombo mbali mbali kuwataka wananchi waipigie kura ya ndio katiba pendekezwa.kwa kuwa wew ni mpenda haki basi tenda haki.
Muhadhama ............kijana acha kukurupuka kutaja vyeo vya watu kimakosa na inaelekea hii topic umelishwa mdomoni uje kuisema hapa sijui unataka tukusaidie nini?
Mfuate ukampe huo ushauri wako then wafuate Mbatia, Slaa,Mbowe Lipumba, Lisu and the Like waache kampeni zao za Hapana!!
Ni busara kuandika lakini siyo busara kusema uongo. Siyo vema kumlisha mtu mzima maneno na kumuamrisha atakeleze matakwa yako. Kama hujui vyeo vya watu usitaje bure vyeo hivyo maana unachafua kazi za watu Mhadhama hakuna jina kama hilo duniani.
Unaye kurupuka ni wewe unayeingia kwa miguu yote minne huku povu likikutoka kama umekula samaki waliovuliwa kwa sumu...pole mkuu
Hili siyo jukwaa la elimu,kama wewe ni mwalimu basi nenda kawajibike kwenye jukwaa husika,kinachotakiwa ni ujumbe kufika.....pole mkuu
Unaye kurupuka ni wewe unayeingia kwa miguu yote minne huku povu likikutoka kama umekula samaki waliovuliwa kwa sumu...pole mkuu
Pengo lazima apewe za uso kwani amekosa busara. Anaingilia siasa halafu anakuwa biased unategemea tusimpe za uso?
Huko ni kutojitambua,na inaonyesha kuwa unaenseshwa na mihemuko ya kiitikadi,ni jambo gani nililoandika hukulielewa?
Wacha kubwia ugoro weweeee
Huko ni kutojitambua,na inaonyesha kuwa unaenseshwa na mihemuko ya kiitikadi,ni jambo gani nililoandika hukulielewa?
Huko ni kutojitambua,na inaonyesha kuwa unaenseshwa na mihemuko ya kiitikadi,ni jambo gani nililoandika hukulielewa?
Huyu Pengo hawawezi kuikemea serikali ya ccm kwa sababu yeye mwenyewe ccm wapo naye .
Gwajima ndo mwenye uwezo wa kukemea serikali ya ccm.
View attachment 254447
Gwajima namkubali sana
Afadhari dogo aka Buguruni camp umekuja kushika lindo eti umekuja kuongeza nguvu hapa tokaaaa Pengo sio size yako nenda kachangie hoja nyingine!! Nenda kamkemee huyu king'ang'anizi wa madaraka mbadilisha katiba ya chama ili abakie madarakani toka 2003 mpaka 2019 ukiweza uje hapa kuchangiaView attachment 254449
Usijifanye kujitoa ufahamu!! Kibaraka wa CHONDOM mwaka huu lazima mfe kwa kihoro!!