Askofu pengo kemea na serikali

Askofu pengo kemea na serikali

UKAWA ni sikionla kufa na kiama chenu kimekaribia mtapasuana kwa sababu ya uroho wa madaraka maana Lipumba keshajitangazia ushindi teh teh teh buf buf buf buf buf buf buf wachumia tumbo buf buf
View attachment 254620Na Oktoba 2015 mnazikwa rasimi!!!RIP UKAWA, 2015.​

Kubwa zima unashangilia wizi wa rasilimali za wananchi masikini,kwa hiyo nawewe ni mmoja wao,epa,richmond,escrow,meremeta,kagoda,gesi mtwara,kutorosha twiga hai,madawa ya kulevya,biashara haramu ya pembe za ndovu
 
ukawa ni sikionla kufa na kiama chenu kimekaribia mtapasuana kwa sababu ya uroho wa madaraka maana lipumba keshajitangazia ushindi teh teh teh buf buf buf buf buf buf buf wachumia tumbo buf buf
View attachment 254620na oktoba 2015 mnazikwa rasimi!!!rip ukawa, 2015.​

name: Sidanganyiki

post count 378
 
Muhadhama ............kijana acha kukurupuka kutaja vyeo vya watu kimakosa na inaelekea hii topic umelishwa mdomoni uje kuisema hapa sijui unataka tukusaidie nini?

Mfuate ukampe huo ushauri wako then wafuate Mbatia, Slaa,Mbowe Lipumba, Lisu and the Like waache kampeni zao za Hapana!!

Povu linakutoka kisa kukosea jina kidogo lkn bado akili yako imeganda pale lumumbA
 
Povu linakutoka kisa kukosea jina kidogo lkn bado akili yako imeganda pale lumumbA

Nimeona unawayawaya na kutoa maneno yasiyo na hekima. Kukosea ni kukosea tu hakuna kukosea kidogo. Tatizo lako ni kukurupuka na kuzungumza mambo yasiyo ya msingi. Lumumba itakuwasha nini? Kawatembee ili ufurahi zaidi.
 
Kwa usafi nilionao nikienda lumumba kwa wajinga na wachafu kama ww hawawezi kunikubali so kama buku saba zenu muendeleze ujinga ujinga wa mwisho maana ukombozi unakuja hata kwa vilaza kama ww
 
Mhadhama kadinali pengo,heshima kwako,kama ulivyokemea tamko la maaskofu kuwataka wananchi kuipigia kura ya hapana katiba pendekezwa,tunakuomba uikememee serikali kwa matangazo yao na wito wao kupitia vyombo mbali mbali kuwataka wananchi waipigie kura ya ndio katiba pendekezwa.kwa kuwa wew ni mpenda haki basi tenda haki.
Wewe umechoka nenda kapumzike na inaonekana unaota ndoto za mchana. Pengo anapaswa kukemea dhambi na mapepo kama ana uwezo huo si kukemea serikali. Kwani yeye si serikali! Acha hizo ndugu yangu. Subiri wakati ukifika ipigie kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa. Kwanza umeshajiandikisha wewe mtu? Kama bado nenda kwenu Tunduru ukajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
 
Kubwa zima unashangilia wizi wa rasilimali za wananchi masikini,kwa hiyo nawewe ni mmoja wao,epa,richmond,escrow,meremeta,kagoda,gesi mtwara,kutorosha twiga hai,madawa ya kulevya,biashara haramu ya pembe za ndovu

Nmkuambia sina muda wa kupoteza mwaka huu tunawazika rasmi.RIP UKAWA 2015
 
Nina shaka na IQ yako,eti SIDANGANYIKI!

Huna tofauti na huyu kimeo mwenzako hapa image.jpg
 
Back
Top Bottom