Askofu pengo kemea na serikali

Askofu pengo kemea na serikali

Nimeamini kuwa ili uwe mwanalumumba nilazima ujitoe uelewa

Kwa taarifa yako sina party affiliation yoyote kama wewe ulietumwa kumchafua Pengo, Wenzenu wanafanya vitu vya maana nyie mnabakia kutukana na kuleta mada njaa humu!!
 
Kwa bandiko gani linifanye kukuelwa wewe interahamwe?

Bora umehama kwenye topic ya msingi ulokuja nayo na lengo langu utoke kabisa teh teh na umeondoka Check wenzio hapa

CHADEMA.

1992-1998. M/ kiti Edwin Mtei
1988-2003. M/kiti Bob Makani
2003-2008. Mkiti Freeman Mbowe
2009-2014. M/ kiti Freeman Mbowe
2014-2019. M/ kiti Freeman mbowe

CUF (Civic United Front).

1995-2000. Mkiti Ibrahim Lipumba.
2000-2005. mkiti Ibrahimu Lipumba.
2005 -2011. mkiti Ibrahim Lipumba.
2011-2017 . mkiti Ibrahim Lipumba.

NCCR MAGEUZI.

1992-1995. Mkiti Mabere Marando.
1995-1999. Mkiti Augustin Mrema.
2000-2010. Mkiti James Mbatia.
2005-2010. Mkiti James Mbatia.
2010-2014. Mkiti James Mbatia.
2015-2020. Mkiti James Mbatia.

Mchakamchaka huo wa matusi haujengi wanajukwaa, kama hakuna la kusema ni vema msitishe matusi humu maana mtafanya ijulikane Jf ni jukwaa la matusi. CHONDE CHONDE, AMANI AMANI AMANI.
 
Kwa taarifa yako sina party affiliation yoyote kama wewe ulietumwa kumchafua Pengo, Wenzenu wanafanya vitu vya maana nyie mnabakia kutukana na kuleta mada njaa humu!!

Kweli nimeamini,yaani post zako zipo kibao hata attachment zinazoisapoti ccm,sasa hivi unazikana? Ama kweli sikujua na argue na mtu wa aina gani.
 
Kweli nimeamini,yaani post zako zipo kibao hata attachment zinazoisapoti ccm,sasa hivi unazikana? Ama kweli sikujua na argue na mtu wa aina gani.

Utanielewa tu taratibu,Wenzenu wanaongoza nchi nyie mnakalia kutukana iongozi wakuu wa dini kweli njaa mbaya sana!!teh teh teh My take Buguruni team at work!!!
 
Usirudie tena kumtukana cardinal pengo sio size yako!!!

Kwa post zako naamini kuwa kama siyo mihemko ya kiitikadi,basi uelewa wako hata wa kusoma bandiko langu umekuwia shida,rudia kusoma bandiko langu utagundua kuwa hakuna sehemu niliyotoa neno baya juu ya askofu.
 
Bora umehama kwenye topic ya msingi ulokuja nayo na lengo langu utoke kabisa teh teh na umeondoka Check wenzio hapa

CHADEMA.

1992-1998. M/ kiti Edwin Mtei
1988-2003. M/kiti Bob Makani
2003-2008. Mkiti Freeman Mbowe
2009-2014. M/ kiti Freeman Mbowe
2014-2019. M/ kiti Freeman mbowe

CUF (Civic United Front).

1995-2000. Mkiti Ibrahim Lipumba.
2000-2005. mkiti Ibrahimu Lipumba.
2005 -2011. mkiti Ibrahim Lipumba.
2011-2017 . mkiti Ibrahim Lipumba.

NCCR MAGEUZI.

1992-1995. Mkiti Mabere Marando.
1995-1999. Mkiti Augustin Mrema.
2000-2010. Mkiti James Mbatia.
2005-2010. Mkiti James Mbatia.
2010-2014. Mkiti James Mbatia.
2015-2020. Mkiti James Mbatia.

Ndio nini tena hii kitu?
 
Utanielewa tu taratibu,Wenzenu wanaongoza nchi nyie mnakalia kutukana iongozi wakuu wa dini kweli njaa mbaya sana!!teh teh teh My take Buguruni team at work!!!

IONGOZI? msaada pls ndio lugha ya wapi hii? Vilevile inabidi ujue ni wapi sehemu ya kutumia neno ...my take...
 
Mchakamchaka huo wa matusi haujengi wanajukwaa, kama hakuna la kusema ni vema msitishe matusi humu maana mtafanya ijulikane Jf ni jukwaa la matusi. CHONDE CHONDE, AMANI AMANI AMANI.

AMINA ,AMIINA,AMIINA ubarikiwe sana
 
IONGOZI? msaada pls ndio lugha ya wapi hii? Vilevile inabidi ujue ni wapi sehemu ya kutumia neno ...my take...

Kamusi ya Buguruni team teh teh we kalia kuhariri mchango wangu si ndo umelipwa kwa ajili hiyo????
 
Back
Top Bottom