Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
Mkuu unamaanisha kitu gani kwani sijakusoma vema,tulia andika vizuri wacha kumbwerambwera
Naamini kulingana na kazi yako ni suala rahisi tu la uelewa, lakini inawezekana ikawa ngumu pia kwa kuamua kwa kuwa unaonekana kutaka kuwa mtata bila sababu ili uonekane na watu kwamba umo JF. Kumbwerambwera kwako kutakufanya uanze hata kumwayamwaya. Uwe macho lakini!



