Kwa bandiko gani linifanye kukuelwa wewe interahamwe?Uwezo wako wa kufikiri unaelekea kufika mwisho teh teh teh wakati wenzenu wanaongeza watu nyie mnatumwa kumtukana PengoView attachment 254734View attachment 254735View attachment 254736 RIP BUGURUNI TEAM & Co. LTD
Nimeamini kuwa ili uwe mwanalumumba nilazima ujitoe uelewa
Wewe utanikubalia tuView attachment 254742
Kwa bandiko gani linifanye kukuelwa wewe interahamwe?
Kwa taarifa yako sina party affiliation yoyote kama wewe ulietumwa kumchafua Pengo, Wenzenu wanafanya vitu vya maana nyie mnabakia kutukana na kuleta mada njaa humu!!
Kweli nimeamini,yaani post zako zipo kibao hata attachment zinazoisapoti ccm,sasa hivi unazikana? Ama kweli sikujua na argue na mtu wa aina gani.
Usirudie tena kumtukana cardinal pengo sio size yako!!!
Umeikumbuka plan A?
Bora umehama kwenye topic ya msingi ulokuja nayo na lengo langu utoke kabisa teh teh na umeondoka Check wenzio hapa
CHADEMA.
1992-1998. M/ kiti Edwin Mtei
1988-2003. M/kiti Bob Makani
2003-2008. Mkiti Freeman Mbowe
2009-2014. M/ kiti Freeman Mbowe
2014-2019. M/ kiti Freeman mbowe
CUF (Civic United Front).
1995-2000. Mkiti Ibrahim Lipumba.
2000-2005. mkiti Ibrahimu Lipumba.
2005 -2011. mkiti Ibrahim Lipumba.
2011-2017 . mkiti Ibrahim Lipumba.
NCCR MAGEUZI.
1992-1995. Mkiti Mabere Marando.
1995-1999. Mkiti Augustin Mrema.
2000-2010. Mkiti James Mbatia.
2005-2010. Mkiti James Mbatia.
2010-2014. Mkiti James Mbatia.
2015-2020. Mkiti James Mbatia.
Utanielewa tu taratibu,Wenzenu wanaongoza nchi nyie mnakalia kutukana iongozi wakuu wa dini kweli njaa mbaya sana!!teh teh teh My take Buguruni team at work!!!
NENDO? lipo kwenye kamusi ya taifa gani mkuu tafadhali?
IONGOZI? msaada pls ndio lugha ya wapi hii? Vilevile inabidi ujue ni wapi sehemu ya kutumia neno ...my take...
Ndio nini tena hii kitu?