Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Wewe siyo hewa bali ni mwanadamuWewe na askofu ni hewa.
MkuuNilichokiona leo usiku.
Kazi tunayo
Umeona niniNilichokiona leo usiku.
Kazi tunayo
Ha ha haRaisi akifa madarakani uchaguzi urudiwe hiki ni kipengele muhimu sana.
Kiongozi gharama za uchaguzi ni kubwa sanaRaisi akifa madarakani uchaguzi urudiwe hiki ni kipengele muhimu sana.
Hapana Bora kuingia gharama kubwa kuepuka gharama kubwa zaidiKiongozi gharama za uchaguzi ni kubwa sana
Kheri ya Nusu Shari kuliikoni shari kipupwe
Jf watafuta. Wanataka tuandike mada za uzinzi tu sijuiMkuu
Kwani umeona NINI!!?
Share nasi HATA kwa code Mkuu!!
Bora gharama kuliko tunachokitafuta sasaKiongozi gharama za uchaguzi ni kubwa sana
Kheri ya Nusu Shari kuliikoni shari kipupwe
Hii haina tofauti na kuuza mali ya urithi wafamilia utaandamwa mpaka kihama.Ngoja tuone mwisho wake.
Mungu yupi alompa maelekezo hayo, mwambie atulie Nchi inaendeshwa kwa sheria, alee watoto wake vizuri asijepata matatizo.
View: https://youtu.be/CsfIiDj5LQY
Askofu profesa Victor Chisanga kwenye mahojiano yake na Jambo TV kadai ana maelekezo ya Mwenyezi Mungu lazima apinge mamlaka kwenye uwekezaji wa bandari na asipofanya hivyo atakwenda motoni.