LGE2024 Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi

LGE2024 Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kama unabisha angalia Wanasiasa na watumishi wa Umma walioiba Mitihani au kuiba Majina ya wanafunzi Wenzao walipokuwa Primary school au O level

Mzazi unaweza kujiona mjanja Leo kumtumia Mwanao kwa matamanio Yako ya Kisiasa lakini ukumbuke kuwa " hiyo ni mbegu umeshapanda"

Askofu Ruwaich Mungu wa mbinguni akutunze, amen!

Baadaye Mlale Unono 😀
👍🎯🤝🙏
 
haya yanatendeka tanganyika, na wala si zanzibar! halafu yule mtu wa yupo tu hafayi yake
 
Unaweza kutuwekea hapa majina machache ya Wanasiasa waliowahi kuiba mtihani?
 
Hicho kinachoitwa demokrasia africa kilishakataliwa kitambo. Sema tu mabeberu wanaogopeka. Yanayofanyika kwenye chaguzi zetu ni kituko na kupoteza pesa za walipa kodi.
 
January Mkamba, Daudi Albert Bashite aka Paul Christian Makonda, Saidi Bagaile aka Khamis Kigwangwala, Lameck Madelu aka Mwigulu Nchemba, list ni ndefu sana muda mchache.
This is serious!
sema kizimkazi, sema wazi wazi, acha porojo kijana
Huyu dalili zote zinaonyesha wazi kabisa kuwa ni mmoja wa hao.

Matatizo ya nchi yetu yanaanzia huko, kwenye elimu ya bandia. Kumekuwa na watu wengi sana siku hizi wanao pitia njia za mkato na kiujanja ujanja tu kudai hadhi wasiyo istahiri, hata katika elimu.

Ndiyo maana taifa letu sasa linaporomoka katika kila viwango; kwa sababu tumekuwa watu wa kukata kona kona tu kila sehemu.
 
Back
Top Bottom