#COVID19 Askofu Ruwa’ichi: Puuzeni maneno ya Askofu Gwajima dhidhi ya Chanjo ya Corona

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Aidha ameongeza kwa kusema "utashi wa Mungu tuwe hai,hao wengine wapiga kelele kina Gwajima achaneni nao"

Chanzo;Mwanahalisi Digital

Nadhani tusubiri Jumapili kwa majibu ya upande wa pili.
JamiiForums1218602168.jpg
 
Aidha ameongeza kwa kusema "utashi wa Mungu tuwe hai,hao wengine wapiga kelele kina Gwajima achaneni nao"

Chanzo;Mwanahalisi Digital

Nadhani tusubiri Jumapili kwa majibu ya upande wa pili.View attachment 1906542
Ngoja sasa hiyo come back yake ya j2 hapo kwa Gwaji boy,mbona huyo Ruwaichi atacheza disco dancer![emoji23]
 
Aidha ameongeza kwa kusema "utashi wa Mungu tuwe hai,hao wengine wapiga kelele kina Gwajima achaneni nao"

Chanzo;Mwanahalisi Digital

Nadhani tusubiri Jumapili kwa majibu ya upande wa pili.View attachment 1906542
BABA ASKOFU ANGEKAA KIMYA TU, VITU VINGINE SIO VYA KUJIHUSISHA NAVYO HASA UKIZINGATIA SUALA HILI NI HIARI KILA MTU ANA UCHAGUZI
 
Back
Top Bottom