#COVID19 Askofu Ruwa’ichi: Puuzeni maneno ya Askofu Gwajima dhidhi ya Chanjo ya Corona

#COVID19 Askofu Ruwa’ichi: Puuzeni maneno ya Askofu Gwajima dhidhi ya Chanjo ya Corona

Wanaomsifia gwaji ni watu wasio na akili Wala hekima .kumsifia huyu ni kuendeleza ukichaa mwingine uliopita huko siku za nyuma ..inashangaza tz tumekuwa watu Fulani wajinga hv kupenda kushabikia ujinga ni kuacha kuhagaikia mambo ya msingi kwa taifa na jamii..ukweli huyu gwaji ni bomu lingine kwa taifa
Kuna msemo usemao 'Nyoka huuma afikiapo'. Ukiona kuna watu wanasifia kupiga ramli kama hizo za Gwajima, ujue ndipo walipofikia katika kufikiri kwao. Ni tatizo kubwa!
 
Back
Top Bottom