#COVID19 Askofu Ruwa’ichi: Puuzeni maneno ya Askofu Gwajima dhidhi ya Chanjo ya Corona

#COVID19 Askofu Ruwa’ichi: Puuzeni maneno ya Askofu Gwajima dhidhi ya Chanjo ya Corona

Aidha ameongeza kwa kusema "utashi wa Mungu tuwe hai,hao wengine wapiga kelele kina Gwajima achaneni nao"

Chanzo;Mwanahalisi Digital

Nadhani tusubiri Jumapili kwa majibu ya upande wa pili.View attachment 1906542
Hamna kaz za kufanya ?
Hadi mnakaa mnasubiri kumsikia mpuuzi mmoja akibwabwaja uharo wake mbele ya hadhara
 
Cha msingi ni kuwaambia waumini wachukue tahadhari lakini hayo mambo ya kurushiana vijembe sidhani kama ni afya njema, kama Gwajiboy na wafuasi wake wanaamini hawachanji basi awaache tu, kwa nini atumie nguvu kubwa sana ?
Wapi ambapo Dr Ruwaichi ametumia nguvu kubwa ?
 
Cha msingi ni kuwaambia waumini wachukue tahadhari lakini hayo mambo ya kurushiana vijembe sidhani kama ni afya njema, kama Gwajiboy na wafuasi wake wanaamini hawachanji basi awaache tu, kwa nini atumie nguvu kubwa sana ?
Hajatumia nguvu kubwa isipokuwa naona watu wanamuona anapingana na serikali.wamjibu maswali yake nawamuache kama Alivyo.hajatumia nguvu kubwa kumlazimisha mtu ambae si wa kabisa lake asichome..anachodai yeye ni kwamba,yeye na waumini wake hawatochoma..hajamlazimisha mtu.

Akasema pia kama kuchoma ni hiari,mbona wanalazimisha na kuona kuwa anapotosha ili hali hata Marekani,ulaya na kwingineko kuna wasiochoma na misimamo yao imeheshimiwa?

Hebu ujiulize swali,kama ukichoma unaambukizwa,ambukiza,unakaa barakoa,na akija kirusi kingine unapata maambukizi?swali Kwanini unachanjwa?ni swali ambalo gwajiboy analiuliza.

Kama unaamini hoja hujibu was kwa hoja..basi wamjibu Gwajima kwa hoja.wasipigiane kelele
 
Hamna kaz za kufanya ?
Hadi mnakaa mnasubiri kumsikia mpuuzi mmoja akibwabwaja uharo wake mbele ya hadhara
Kwani sikuhizi kuna haja ya kukaa na kumsikiliza mtu?habari si zinakuja kigangani tu,Mpuuzi nani sasa Ruwaichi?
 
Aidha ameongeza kwa kusema "utashi wa Mungu tuwe hai,hao wengine wapiga kelele kina Gwajima achaneni nao"

Chanzo;Mwanahalisi Digital

Nadhani tusubiri Jumapili kwa majibu ya upande wa pili.View attachment 1906542
Ruwaichi hana akili ndogo kama huyo gwajima kiasi cha kumpa airtime .. prove me wrong kwakuweka clip yake akimtaja huyo mcheza porn
 
Ruwaichi hana akili ndogo kama huyo gwajima kiasi cha kumpa airtime .. prove me wrong kwakuweka clip yake akimtaja huyo mcheza porn
Sijui kuhusu video mi nimeitoa kwenye hicho chanzo nilichoweka hapo
 
Sijui kuhusu video mi nimeitoa kwenye hicho chanzo nilichoweka hapo
Nilikuwepo kwenye ibada hakuna sehemu alimtaja gwajima hiko kipeperushi cha uongo alichosisitiza yy ni mapadri kupata chanjo wote na waumini kuchukua tahadhari wote?!
 
Aidha ameongeza kwa kusema "utashi wa Mungu tuwe hai,hao wengine wapiga kelele kina Gwajima achaneni nao"

Chanzo;Mwanahalisi Digital

Nadhani tusubiri Jumapili kwa majibu ya upande wa pili.View attachment 1906542
Hawa wakatoliki mapadre wao kule ujerumani wameanza kufungusha ndoa za mashago na kubariki. Papa kakaa kimya kama hayapo.
 
Nilikuwepo kwenye ibada hakuna sehemu alimtaja gwajima hiko kipeperushi cha uongo alichosisitiza yy ni mapadri kupata chanjo wote na waumini kuchukua tahadhari wote?

Mkuu Nafikiri ulipitiwa tu alisema kuhusu Gwajima apuuzwe.....

Hoja ya askofu Ruwaichi aliijenga kutokea kwenye sala ya kuomba kujikinga na ugonjwa wa uviko-19 ya mwaka 2020,ambapo husaliwa mara nyingi. Saa sita mara baada ya malaika wa bwana, ambapo inakipande chakuombea upatikanaji wa chanjo hivyo inabidi tukachanjwe
 
Attachments

Back
Top Bottom