#COVID19 Askofu Ruwa’ichi: Puuzeni maneno ya Askofu Gwajima dhidhi ya Chanjo ya Corona

Cha msingi ni kuwaambia waumini wachukue tahadhari lakini hayo mambo ya kurushiana vijembe sidhani kama ni afya njema, kama Gwajiboy na wafuasi wake wanaamini hawachanji basi awaache tu, kwa nini atumie nguvu kubwa sana ?
Halafu tuendelee kukaa nao huku mitaani ama ndio atawapeleka Marekani?
 
Mwisho wa siku Kigwajima kikaenda kumpigia Pengo magoti. If you know you know
Gwajima alivyokuwa anamwomba Pengo msamaha hadi nilimwonea huruma,alikuwa mdogo hatari-Tena hadi alisaidiwa na Makonda 🤣 🤣 🤣 Mzee Makamba anakwambia gwajima anaropoka ropoka kwa sababu ya laana za Pengo 😁😁🙌🙌
 
Yaani ningekuwa Rais hawa akina Gwajima na wapuuzi wengine akina mzee wa tungi na mzee wa mafuta wangenikoma. Unapokea mahela yote unasalisha watu kwenye tent
Kwani samia anapozichukua hzo tozo zenu wakati wewe kula kulala na yeye anapaa kila uchwao wewe unafaidika na nn?
 
Wanaomsifia gwaji ni watu wasio na akili Wala hekima .kumsifia huyu ni kuendeleza ukichaa mwingine uliopita huko siku za nyuma ..inashangaza tz tumekuwa watu Fulani wajinga hv kupenda kushabikia ujinga ni kuacha kuhagaikia mambo ya msingi kwa taifa na jamii..ukweli huyu gwaji ni bomu lingine kwa taifa
 
Padri gani huyu mweupe hivi kichwani! Au ameamua tu kujitoa akili makusudi kwa malengo yake binafsi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…