GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Taifa letu limejeruhiwa, hakuna AMANI bila HAKI

GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Taifa letu limejeruhiwa, hakuna AMANI bila HAKI

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap.

katika homilia aliyoitoa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Misa iliyoadhimishwa Jumatatu Novemba 10,2025 katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam.


 
Kwani Mama hajatotoq Salam za lambilambi Kwa wahanga Hadi Sasa
Au ndio alipenda iwe hivyo?
 



"Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. katika homilia aliyoitoa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Misa iliyoadhimishwa Jumatatu Novemba 10,2025 katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

Credit: Tumaini Media
 
MKUU DuaZaMama ako, humu jf tunao mapapa waandamizi wanao weza kufikisha dua za mamaako kule Vatican, Papa Mobimba Papaa Gx ....waone hawa.

Ni kautaratibu tulikojiwekea mkuu, Pia kumbuka PAPA SIO MAMAAKO!
 
Dunia nzima inawaonya waache siasa wao wamekomalia harakati kanisani wanapanda madhabahuni hata biblia hawana mikononi Kila siku ni lugha ngumu tu kwa ss waumini
 

Attachments

  • 20251227_154002.jpg
    20251227_154002.jpg
    105.4 KB · Views: 27
Back
Top Bottom