Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

Amka usingizini wewe hapo hakuna dini kuna uhuni tuh

Just immagine mtu kama Ruwaichi na kitima kwa umri kama ule hadi uzee eti wamekatazwa kuoa na waishi hivyo hadi kufa,sasa dini gani inayoweza kukupa amri ya kuishi against human nature of creation??

Hivi hamtafakari makafiri?
kijora kimekulamba
 
Hayati JPM alisema haoni taabu kuwa unpopular president, pia alisema hayupo ikulu kwa ajili ya kuuza sura yupo pale kufanya kazi ambayo sisi tuliompigia kura tulimtuma.
Screenshot_20251219-132538~2.png
 
Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.

Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo kazini. Amesema wasikubali kufanywa kituko wala kinyago. Adhimisho la Misa Takatifu Jubilei 2025 linaendelea hapa.
Ni kweli ni wakatoliki lakini wasiwe wa vijora😂😂
 
Kuuliza sio ujinga..kama wanaume wakifika peponi wanakuta mabikra 72,mito ya pombe na asali je wanawake wao wanakuta nini..?!
 
Kujimwambafai kuwa ninyi ni Bora kuliko wa Dini zingine zote ndio kumewafikisha Makafiri hapa. Elimu wote tunazo kwasasa na hakuna wa kudanganywa tena

Mwacheni mama afanye kazi kwa amani kwa miaka yake

Teh teh teh

Wananishangaza sana makafiri wa bongo kwa kujitia eti wao wasomi...

Ukiwauliza usomi wenu unalisaidia nini basi TAIFA zaidi zaidi ya wizi na ufisadi??
 
Mmh..dini kila mda inahubiri ngono tu...mkifika peponi kunakuwa na orgy au!?..make mademu 72 sio poaa...

Badala ushangae hiyo ya kwenu ambayo inakataza maaskofu wasioe na waishi maisha yao yoote kwa kupiga punyeto na pia kufungisha ndoa za jinsia moja unakuja kushangaa ya kwetu kweli??
 
Badala ushangae hiyo ya kwenu ambayo inakataza maaskofu wasioe na waishi maisha yao yoote kwa kupiga punyeto na pia kufungisha ndoa za jinsia moja unakuja kushangaa ya kwetu kweli??
Ktmoto unatumia bado?
 
Hakuna mtu amesema hii Nchi ni ya watawala wachache, TEC wakati huu Wa mama naona wamekuwa front sana kucritize tofauti na wakati awapo mgalatia kwenye kiti Kikuu

Viongozi wa TEC Kwa nafasi zao Wana platform za Kuonana na Mkuu wa Nchi wakati wowote ila sasa wameona Publicity ni muhimu zaidi ya utulivu

Atleast basi wangekuwa wanaongea point kama Gwajima

Wao Nia ya ni uovu tu hawana lolote ndio mana tuna sema Wana serve interest zao ila hawatafanikiwa inawauma sana taifa likuwa na Utulivu

Mana Magufuli ameua wangapi mbona hatukuona Kelele kubwa ivi
Hiki kihoja cha TEC wamekuwa front sana wakati huu wa Samia mnakitoa wapi? Wewe Tanzania ulifika au umeanza kupata habari baada ya Samia kuwa Rais?

Hakuna Rais ameandamwa na matamko na kukosolewa na hao TEC kama Rais Magufuli, wamemsema kwa waraka na wamemsema pia kwa mahubiri akiwa nao kanisani.

Acheni hoja za udini, haziwasaidii watawala zaidi ya kuwadidimiza na kuwafanya waonekane watu waajabu.
​
 
Back
Top Bottom