Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.

Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo kazini. Amesema wasikubali kufanywa kituko wala kinyago. Adhimisho la Misa Takatifu Jubilei 2025 linaendelea hapa.
 
Wahuni wanataka kulishusha Kanisa hadi katika level yao ya ujinga.
 
Baba umsemehe huyu, hajui asemalo. Uzuri wakatoliki tumejawa na na roho mtakatifu aliyetushukia siku ya pentecoste, tunajizuia kuyasema mapungufu kadhaa ya dini zingine; na yapo mengi na yanafedhehesha.

Amka usingizini wewe hapo hakuna dini kuna uhuni tuh

Just immagine mtu kama Ruwaichi na kitima kwa umri kama ule hadi uzee eti wamekatazwa kuoa na waishi hivyo hadi kufa,sasa dini gani inayoweza kukupa amri ya kuishi against human nature of creation??

Hivi hamtafakari makafiri?
 
YEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
𝗞𝘂𝗮𝗻𝗱𝗶𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗵𝗲𝗿𝘂𝗳𝗶 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗻𝗶 𝗱𝗮𝗹𝗶𝗹𝗶 𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗳𝗼𝗸𝗮, 𝗷𝗮𝘇𝗯𝗮, 𝘂𝗽𝘂𝗻𝗴𝘂𝗳𝘂 𝘄𝗮 𝗮𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗻𝗮 𝗺𝘀𝗼𝗻𝗴𝗼 𝘄𝗮 𝗺𝗮𝘄𝗮𝘇𝗼 𝘂𝗹𝗶𝗼𝗽𝗶𝘁𝗶𝗹𝗶𝘇𝗮
 
Dalili ya [kupagawa] akili zinakua zinayeyuka km barafu
 
𝗞𝘂𝗮𝗻𝗱𝗶𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗵𝗲𝗿𝘂𝗳𝗶 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗻𝗶 𝗱𝗮𝗹𝗶𝗹𝗶 𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗳𝗼𝗸𝗮, 𝗷𝗮𝘇𝗯𝗮, 𝘂𝗽𝘂𝗻𝗴𝘂𝗳𝘂 𝘄𝗮 𝗮𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗻𝗮 𝗺𝘀𝗼𝗻𝗴𝗼 𝘄𝗮 𝗺𝗮𝘄𝗮𝘇𝗼 𝘂𝗹𝗶𝗼𝗽𝗶𝘁𝗶𝗹𝗶𝘇𝗮
NA KUBOLD MAANDISHI NI DALILI YA.WEHU NA KUTOJIAMINI KWA UNACHOKIANDIKA
 
Back
Top Bottom