MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,595
- 3,460
Serekali isipo mzibiti huyu ruachi ipo siku watanzania watakuja kuchinjana
Hahahahahaaaaa.. Humu jukwaani kuna watu makatiri sana aiseeeWe Vaa kijora hujakatazwa mrembo
Mwenyewe umebold hadi jina lako tuseme wewe ndiye kiongozi wa wehu.NA KUBOLD MAANDISHI NI DALILI YA.WEHU NA KUTOJIAMINI KWA UNACHOKIANDIKA
Serekali isipo mzibiti huyu gasho ruachi ipo siku watanzania watakuja kuchinjana
Kwahiyo hoja yako ni nini hapo.SASA SI UMESHASEMA NI KANZU??
KWAHIYO WEWE HATA HUJUI KUWA YALE WANAYOVAA MAASKOFU KUWA YANAITWA MAGAUNI??
KILA KITU MNABURUZWA BURUZWA TUH
Dawa yenu ni Trump, ngoja kwanza amalizane na waislam wa Iran awafundishe kula kitimoto.SERIKALI HAIWEZI TISHWA NA MPIGA NYETO HATA SIKU MOJA
MTU AMBAE HATA KUMANAGE FAMILY HAJUI NA HATAKUJA KUJUA HADI ANAINGIA KABURINI NI DHAIFU TUH NA WA KUPUUZWA
Sasa kama watengeneza mission ni akina BASHITE, unategemea nini?.😅😅😅
Noma sana, walio watuma aibu wanaona wao
Wewe na watekaji wenzio ndio mmekuwa washauri kwa kanisa la RC?.Amka usingizini wewe hapo hakuna dini kuna uhuni tuh
Just immagine mtu kama Ruwaichi na kitima kwa umri kama ule hadi uzee eti wamekatazwa kuoa na waishi hivyo hadi kufa,sasa dini gani inayoweza kukupa amri ya kuishi against human nature of creation??
Hivi hamtafakari makafiri?
YEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Amka usingizini wewe hapo hakuna dini kuna uhuni tuh
Just immagine mtu kama Ruwaichi na kitima kwa umri kama ule hadi uzee eti wamekatazwa kuoa na waishi hivyo hadi kufa,sasa dini gani inayoweza kukupa amri ya kuishi against human nature of creation??
Hivi hamtafakari makafiri?
Viongozi wenyewe wa kanisa wamekuwa banned kuoa,bila shaka zinaa itakuwa alternative watawezaje kukemea.uzinzi na wao ndiyo ponea ponea yao...??
HAMTAFAKARI??
Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.
Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo kazini. Amesema wasikubali kufanywa kituko wala kinyago. Adhimisho la Misa Takatifu Jubilei 2025 linaendelea hapa.
Uwe unafuatilia mamboLeo walivyoona Kuna matukio Makubwa ya Katoliki yanaendelea nchini na wao eti wakaandaa hafla uchwara ya kuwapongeza wachezaji wa Timu ya Taifa ili kuzima matamko ya Maaskofu yatakayotolewa siku ya leo kwenye uapisho wa Mapadri.
Ugomvi wa catholic na CCM ni wa kifamilia sie wakigalagazana hata kuumizana ni nafuu kwa taifa pengineAmka usingizini wewe hapo hakuna dini kuna uhuni tuh
Just immagine mtu kama Ruwaichi na kitima kwa umri kama ule hadi uzee eti wamekatazwa kuoa na waishi hivyo hadi kufa,sasa dini gani inayoweza kukupa amri ya kuishi against human nature of creation??
Hivi hamtafakari makafiri?
Huo ndo ukweliAkiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.
Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo kazini. Amesema wasikubali kufanywa kituko wala kinyago. Adhimisho la Misa Takatifu Jubilei 2025 linaendelea hapa.
Kobazi + Vijora =.?YEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Kubeba dela tena, au ile michomekeo ndani ya chupi.
Tumia akili vizuriYEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Mkuu mbona unalenga kwenye chembe tu, unataka mtu aharishe maini?We Vaa kijora hujakatazwa mrembo