Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 5,160
- 7,702
Mmmmmmm! Wana aibu hao?[emoji28][emoji28][emoji28]
Noma sana, walio watuma aibu wanaona wao
Mmmmmmm! Wana aibu hao?[emoji28][emoji28][emoji28]
Noma sana, walio watuma aibu wanaona wao
Pamoja na kuwa WEWE NI MJINGA plus, wakati mwingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako!YEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.
Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo kazini. Amesema wasikubali kufanywa kituko wala kinyago. Adhimisho la Misa Takatifu Jubilei 2025 linaendelea hapa.
vijora ni vazi la malayamalaya wewe chawa mpevuYEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
acha upuuzi kenge we, unatokwa povu jingi sana, we huoni uhuni unaofanywa na hao wahuni wenzako?Hawa maaskofu, vijembe vya kila siku vinasaidia nini? Vinaresolve nini kwenye hali iliyopo sasa? Tumewachoka nao. Kwa nini hamtake actions ngumu pamoja na waumini wenu? Mkishasema hizi sentensi na mkaongeza neno haki, ndio nchi inakuwa imekombelewa? Kwendeni zenu huko na maneno yenu ya kanga kila siku. Nyie muongee tu halafu maamuzi magumu wafanye wengine?
'THE BIG TRASH' awe ndiye 'Mchange'?mcha@@nge usingetokea ningeshangaa.
iVI UBALOZI WA VATIKANI UMEJIBUU?Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.
Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo kazini. Amesema wasikubali kufanywa kituko wala kinyago. Adhimisho la Misa Takatifu Jubilei 2025 linaendelea hapa.
Inasemekana hawakuingia ubalozi, waliishia getini baadae wakaenda kwenye ukumbi waliokodi na kujifanya wapo kwenye kumbi za ubaloziiVI UBALOZI WA VATIKANI UMEJIBUU?
Wangekaa kimya bila kuongelea wale jamaa ingekuwa poa zaidi. Kusema vile maana yake wanayo madukuduku moyoni.Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.
Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo kazini. Amesema wasikubali kufanywa kituko wala kinyago. Adhimisho la Misa Takatifu Jubilei 2025 linaendelea hapa.
Utaishia kulalama tu shehe ubwabwa...hasira nyingi lakini huna lolote la kufanya....Amka usingizini wewe hapo hakuna dini kuna uhuni tuh
Just immagine mtu kama Ruwaichi na kitima kwa umri kama ule hadi uzee eti wamekatazwa kuoa na waishi hivyo hadi kufa,sasa dini gani inayoweza kukupa amri ya kuishi against human nature of creation??
Hivi hamtafakari makafiri?
Wakatoliki hatuna shida na mtu.Ila Wakatoliki wana nongwa sana. Sijui huwa wanafundishwa nini kwenye mafundisho yao
Katika maisha yangu yote nimekuwa naona maaskofu wanaoheshimika. Ila nimekuja kugundua kumbe hata maaskofu huwa wapo wa hovyo. Mtu mzima kuendeleza ligi ni ukubwa ujinga. Kuna ligi nyingine wakati mwingine ni vema ukaacha kwasababu hazikusaidii. Askofu mzima kujibizana na wavaa vijora Ni upumbavu wA hali ya juu. Huwa najiuliza hivi kama kichaa akachukua nguo ukiwa unaoga akawa anakimbia akaanza kumfukuza ukiwa uchi. Nani ataonekana kichaa. Askofu Ruwaich kaamua kuwa kichaa badala ya kuacha hao anao waita malofa, wavaa vijora kuwajibu. Kama ni malofa tu kwanini tukazane kuwajibu. Mnatuaibisha na ukatoliki wetu.Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.
Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo kazini. Amesema wasikubali kufanywa kituko wala kinyago. Adhimisho la Misa Takatifu Jubilei 2025 linaendelea hapa.
Hapa ni bampa tu bampa mpaka bungo litemwe.Katika maisha yangu yote nimekuwa naona maaskofu wanaoheshimika. Ila nimekuja kugundua kumbe hata maaskofu huwa wapo wa hovyo. Mtu mzima kuendeleza ligi ni ukubwa ujinga. Kuna ligi nyingine wakati mwingine ni vema ukaacha kwasababu hazikusaidii.
Juzi nilisema wanawekwa kwenye mtego.Wangekaa kimya bila kuongelea wale jamaa ingekuwa poa zaidi. Kusema vile maana yake wanayo madukuduku moyoni.
Sijalizoea kanisa langu katoliki likiwa na hulka hizi za kujibizana kwenye masuala yenye sura za kisiasa.
BIG CHAWAYEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Waliotumwa wote ukiwaangalia hawana cha kupoteza, ni sawa na kichaa anayekuvua taulo lako hadharani halafu wewe unaamua kumkimbiza ukiwa uchi wa mnyama, watakucheka wewe bila hata ya kujiuliza aliyechukua taulo ni mzima au ndio mgonjwa mwenyewe.Juzi nilisema wanawekwa kwenye mtego.
Wakikaa kimya, wahuni wanashinda maana lengo lao Kanisa lisikemee maovu yanayoendelea.
Wakijibu ndiyo kama hivyo, watu kama nyie mnaona wanajishushia hadhi. Inabidi wawe makini sana wanachojibu na kwa njia yoyote inaonekana kama wanajibizana na watu wa hovyo maana wanaotakiwa kuwajibu wako kimya na badala yake wametuma vibaraka wahuni wahuni.
Kwani wenzetu mnavaa suti msikitini tangu lini? Au ndio ile nyani haoni kundule? Nimekudharau mno kwa ujuha huu!YEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Ila ukisikiliza kwa makini hapa hawajibiwi wale wavaa madera na vijora bali ni ujumbe kwa wale walio nyuma yao.Waliotumwa wote ukiwaangalia hawana cha kupoteza, ni sawa na kichaa anayekuvua taulo lako hadharani halafu wewe unaamua kumkimbiza ukiwa uchi wa mnyama, watakucheka wewe bila hata ya kujiuliza aliyechukua taulo ni mzima au ndio mgonjwa mwenyewe.