AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Yuda anapiga spana za moto mpaka mnafurukuta mfanye tukio gani lingine kumvamia hamuwezi nimemsikia leo kwenye kongamano anasema mmenyoosha mikono juu mnasema wenyewe Wakatoriki [hatuwawezi]Viongozi wenyewe wa kanisa wamekuwa banned kuoa,bila shaka zinaa itakuwa alternative watawezaje kukemea.uzinzi na wao ndiyo ponea ponea yao...??
HAMTAFAKARI??