Hakuna mkamilifu. Ata mimi na wewe sio wakamilifu.Mimi ni mkatoliki na leo asubuhi nilikuwa kanisani. Najua mema wanayoyafanya pia najua mabaya wanayoyafanya nyuma ya pazia.
kijora kimekulambaAmka usingizini wewe hapo hakuna dini kuna uhuni tuh
Just immagine mtu kama Ruwaichi na kitima kwa umri kama ule hadi uzee eti wamekatazwa kuoa na waishi hivyo hadi kufa,sasa dini gani inayoweza kukupa amri ya kuishi against human nature of creation??
Hivi hamtafakari makafiri?
Mabikira 72 wanakusuburi..Viongozi wenyewe wa kanisa wamekuwa banned kuoa,bila shaka zinaa itakuwa alternative watawezaje kukemea.uzinzi na wao ndiyo ponea ponea yao...??
HAMTAFAKARI??
St Gasper, vijora ni michezo ya kisiasa wanayoicheza wanasiasa.Hakuna mkamilifu. Ata mimi na wewe sio wakamilifu.
Jawabu ni kutubu dhambi
Upo parokia kigani?
Nini msimamo wako kuhusu vijora?
Hayati JPM alisema haoni taabu kuwa unpopular president, pia alisema hayupo ikulu kwa ajili ya kuuza sura yupo pale kufanya kazi ambayo sisi tuliompigia kura tulimtuma.
UNAONA SASA ULIVYO FALA??
KWELI MWANAUME RIJALI KABISA HAUPENDI RAHA YA MWANAMKE KWELI??
SASA RAHA YAKO WEWE MWANUME MWENZETU NI NINI HAPA DUNIANI??
KUBANDULIWA AU??
Ni kweli ni wakatoliki lakini wasiwe wa vijora😂😂Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.
Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo kazini. Amesema wasikubali kufanywa kituko wala kinyago. Adhimisho la Misa Takatifu Jubilei 2025 linaendelea hapa.
Je lengo lao ni kuitumbukiza nchi katika migoro ya kidini?St Gasper, vijora ni michezo ya kisiasa wanayoicheza wanasiasa.
YEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Peponoi zipo raha zoooteKuuliza sio ujinga..kama wanaume wakifika peponi wanakuta mabikra 72,mito ya pombe na asali je wanawake wao wanakuta nini..?!
Kujimwambafai kuwa ninyi ni Bora kuliko wa Dini zingine zote ndio kumewafikisha Makafiri hapa. Elimu wote tunazo kwasasa na hakuna wa kudanganywa tena
Mwacheni mama afanye kazi kwa amani kwa miaka yake
Nauliza wanawake wa kislaam wanapata nini peponi..!?Peponoi zipo raha zooote
Quran haipo wazi nini watapata wanawake. Lakini wanawake nao watapata wenza ambao ni wasafiNauliza wanawake wa kislaam wanapata nini peponi..!?
Mmh..dini kila mda inahubiri ngono tu...mkifika peponi kunakuwa na orgy au!?..make mademu 72 sio poaa...
Ktmoto unatumia bado?Badala ushangae hiyo ya kwenu ambayo inakataza maaskofu wasioe na waishi maisha yao yoote kwa kupiga punyeto na pia kufungisha ndoa za jinsia moja unakuja kushangaa ya kwetu kweli??
Quran haipo wazi nini watapata wanawake. Lakini wanawake nao watapata wenza ambao ni w
Ndo uoe mtoto wa miaka 6!?!Badala ushangae hiyo ya kwenu ambayo inakataza maaskofu wasioe na waishi maisha yao yoote kwa kupiga punyeto na pia kufungisha ndoa za jinsia moja unakuja kushangaa ya kwetu kweli??
Hakuna mtu amesema hii Nchi ni ya watawala wachache, TEC wakati huu Wa mama naona wamekuwa front sana kucritize tofauti na wakati awapo mgalatia kwenye kiti Kikuu
Viongozi wa TEC Kwa nafasi zao Wana platform za Kuonana na Mkuu wa Nchi wakati wowote ila sasa wameona Publicity ni muhimu zaidi ya utulivu
Atleast basi wangekuwa wanaongea point kama Gwajima
Wao Nia ya ni uovu tu hawana lolote ndio mana tuna sema Wana serve interest zao ila hawatafanikiwa inawauma sana taifa likuwa na Utulivu
Mana Magufuli ameua wangapi mbona hatukuona Kelele kubwa ivi