The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Ungei tag hii ng'ombe THE BIG SHOW“Taasisi yetu ya Kanisa Katoliki ni ya miaka mingi, taasisi ya Katoliki ndio mama wa taasisi zote, ndio mama wa serikali zote. Imekuwapo haijaanguka tangu Yesu zaidi ya miaka elfu mbili na hakuna taifa lolote litakaloweza kuiangusha Kanisa Katoliki. Warusi walijitahidi kuangamiza Kanisa Katoliki kuanzia kufundisha watu kwamba Mungu amekufa, God is dead, taifa lao ndio limesambaratika, Mungu wetu bado yupo na kanisa bado lipo”,
Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki Kayanga.
Robert Heriel Mtibelimama mjinga anachokifanya ni kujipiga kidole mwenyewe Tu.....
😃😃🤣 nilidhani kujisifu na kuji-mwambafy ni waamini tu,kumbe inatoka kwa viongozi,hapo rais akisema afute ruzuku toka hazina kwenda kanisani na misamaha ya Kodi bandarini iondolewe,utasikia mayowe
Kanisa bila hazina ya nchi lingekua kama makanisa ya gwajima tu
Yaan amejipiga kidole na kujinusa mwenyewe na wewe umekubari hilo mimi ni nani nikatae?Umeniita Mkuu.
Anaweza kuwa sahihi kwa kiasi kikubwa.
Acha uwongo wa kitoto wewe uchi,padre sivalon alisema bila serikali kanisa lingefunga taasisi zake, kupitia walei kama wewe serikalini serikali ikajifanya ku-propose MoU Ili kuokoa kanisa na taasisi zakeWewe kweli ni mjinga hasa! Huelewi hata aliteomba kuwa na MoU.
Kanisa lilikiwa linamiliki mahospitali na shule. Serikali ikataifisha. Kanisa taratibu likajenga nyingine. Hospitali na shule ziluzotaifisgwa na Serikali zikawa duni, Serikali ikashindwa kuziendesha, ikarudi tena kwa Kanisa kuomba wazirudishe ila kuwe na makubaliano ya kuwa hospitali hizo zitatoa huduma kama hospitali za Serikali. Hata Serikali likafuta hizo ruzuku zake, Kanisa likawa na maamuzi yote juu ya hizo hospitali, halishindwi kuziendesha, tena zitakuwa bora zaidi kuliko zilivyo sasa.
Huyo ni kilaza asiye na ufahamu wowote, hata hajui Catholic ni nini ,ndio maana alishangilia sana alipoona akina kabudi wameenda kwa PapaCC gaidi the big show
Hapa umetupiga kamba Mzee , kwamba china kuna ongezeko ku wa la wakristo ?? Acha basiiiWewe kweli ni mjinga hasa! Huelewi hata aliteomba kuwa na MoU.
Kanisa lilikiwa linamiliki mahospitali na shule. Serikali ikataifisha. Kanisa taratibu likajenga nyingine. Hospitali na shule ziluzotaifisgwa na Serikali zikawa duni, Serikali ikashindwa kuziendesha, ikarudi tena kwa Kanisa kuomba wazirudishe ila kuwe na makubaliano ya kuwa hospitali hizo zitatoa huduma kama hospitali za Serikali. Hata Serikali likafuta hizo ruzuku zake, Kanisa likawa na maamuzi yote juu ya hizo hospitali, halishindwi kuziendesha, tena zitakuwa bora zaidi kuliko zilivyo sasa.
Kuueleza ukweli siyo kujisifu:
Ni kweli kuwa Kanisa Katoliki ni taasisi ya kale zaidi. Na ndiyo iliyotengeneza mifumo mingi Diniani, kama vile mifumo ya Elimu, sheria na utawala. Madhehebu ya Kikristo yale ya zamani yalimeguka kutoka katoliki. Tawala kadhaa, kuanzia zile za Roma, zilijaribu kuufuta ukristo, lakini zilishindwa. China nayo ilijaribu kuufuta ukristo, lakini leo hii China ndiyo inayoongoza kwa ongezeko la wakristo Duniani, na mpaka mwaka 2030 China inatarajiwa kuwa na wakristo wengi kuliko nchi yoyote. Mataifa kama Indonesia na Iran yalijaribu kuwekasheria kali ili kuufuta ukristo, matokeo yake ndiyo unaongezeka kwa kasi. Sasa kuusema ukweli huo ndiyo kujisifu?
"Ndio mama wa serikalu zote." Mliaminishwa hivyo, mkafundishwa hivyo na mkayaishi maisha hayo. Jidanganyeni tu.“Taasisi yetu ya Kanisa Katoliki ni ya miaka mingi, taasisi ya Katoliki ndio mama wa taasisi zote, ndio mama wa serikali zote. Imekuwapo haijaanguka tangu Yesu zaidi ya miaka elfu mbili na hakuna taifa lolote litakaloweza kuiangusha Kanisa Katoliki