Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JItahidi kukaa karibu na Abdul kama unaweza uoge mahela.Kizimkazi anaonekana ana ukwasi wa kutosha sio kwa kumwaga huko fedha
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Askofu Shoo naye amelamba asali baada ya kupewa gari la 150 Milioni kutoka kwa Rais Samia, hivi karibuni Askofu huyo amejibu mapigo.
Akiwa anazungumza hivi karibu Askofu Shoo amesema kuwa maneno yanayopelekwa dhidi yake ni uongo na kwamba Freeman Mbowe ndiye alikuwa ameomba pesa hizo kutoka kwa Rais Samia kwa ajili ya Usharika wake.
Soma pia: Askofu Shoo afafanua madai ya kuhongwa Tsh. Milioni 150, asema ni mbinu za kumnyamazisha
"Hivi karibuni kumekuwa na maneno mengi ya uongo kwamba mimi nimehongwa Shilingi milioni 150 na gari, ukweli ni kwamba Mhe Mbow, ndiye aliyeomba hizo pesa kwa Rais kuchangia Usharika anaotoka Mhe. Mbowe."
==================================================
View attachment 3161111
Sijelewa hawa, Mbowe kaomba pesa za Usharika halafu Dr Shoo kapewa gari, mbona sielewi?Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Askofu Shoo naye amelamba asali baada ya kupewa gari la 150 Milioni kutoka kwa Rais Samia, hivi karibuni Askofu huyo amejibu mapigo.
Akiwa anazungumza hivi karibu Askofu Shoo amesema kuwa maneno yanayopelekwa dhidi yake ni uongo na kwamba Freeman Mbowe ndiye alikuwa ameomba pesa hizo kutoka kwa Rais Samia kwa ajili ya Usharika wake.
Soma pia: Askofu Shoo afafanua madai ya kuhongwa Tsh. Milioni 150, asema ni mbinu za kumnyamazisha
"Hivi karibuni kumekuwa na maneno mengi ya uongo kwamba mimi nimehongwa Shilingi milioni 150 na gari, ukweli ni kwamba Mhe Mbow, ndiye aliyeomba hizo pesa kwa Rais kuchangia Usharika anaotoka Mhe. Mbowe."
==================================================
View attachment 3161111
Kuna nini kati ya Mbowe, Ask Shoo na Samia?Wakuu,

Aibu kubwa snPesa zinatembezwa kwa viongozi wa dini, time za mipira na chawa ilihali kwenye elimu, afya, kilimo kuna uhitaji mkubwa.
Aliomba vyote kwa pamojaSijelewa hawa, Mbowe kaomba pesa za Usharika halafu Dr Shoo kapewa gari, mbona sielewi?
Yani amemuombea gari Askofu Shoo? Wewe inakuingia hiyo? Acha kuwaoyaoya.Aliomba vyote kwa pamoja
Kwani hapo kavunja sheria za nchi?Yani amemuombea gari Askofu Shoo? Wewe inakuingia hiyo? Acha kuwaoyaoya.
Hivi Mbowe amewaroga na uchawi gani? halafu kesho msimame kusema Samia mbaya?rutto kapeleka milion 2 za Kenya
Katoliki
Wakazirudishaaaa
Asbh wakalaan kwenye press marufuku kupokea hela kwa wanasiasa
rutto kapeleka milion 2 za Kenya
Katoliki
Wakazirudishaaaa
Asbh wakalaan kwenye press marufuku kupokea hela kwa wanasiasa
Alihongwa arudishe kama yule askofu wa kikatoliki aliyerudisha hela za Ruto. Apewe gari la kifahari na rais ambalo atatumia yeye na familia yake kwa sababu gani?Wakuu,
Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150 milioni na Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ni taarifa zenye lengo la kuvunja nguvu sauti ya kinabii ya kutetea haki.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Askofu Shoo aliyasema hayo mwishoni mwa wiki mjini Moshi katika kongamano la viongozi wa dini kanda ya kaskazini lililohudhuriwa na viongozi kutoka taasisi mbalimbali za dini akiwemo Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki (TEC), Padre Charles Kitima.