Pre GE2025 Askofu Shoo afafanua madai ya kuhongwa Tsh. Milioni 150, asema ni mbinu za kumnyamazisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Askofu tusiichafue KKKT yetu, rudisha hizo pesa zinanuka rushwa kama una shida saana na hela sisi waumini tutakuchangia mara mbili ya hizo.
 
Wakuu,

Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Askofu Shoo naye amelamba asali baada ya kupewa gari la 150 Milioni kutoka kwa Rais Samia, hivi karibuni Askofu huyo amejibu mapigo.

Akiwa anazungumza hivi karibu Askofu Shoo amesema kuwa maneno yanayopelekwa dhidi yake ni uongo na kwamba Freeman Mbowe ndiye alikuwa ameomba pesa hizo kutoka kwa Rais Samia kwa ajili ya Usharika wake.

Soma pia: Askofu Shoo afafanua madai ya kuhongwa Tsh. Milioni 150, asema ni mbinu za kumnyamazisha

"Hivi karibuni kumekuwa na maneno mengi ya uongo kwamba mimi nimehongwa Shilingi milioni 150 na gari, ukweli ni kwamba Mhe Mbow, ndiye aliyeomba hizo pesa kwa Rais kuchangia Usharika anaotoka Mhe. Mbowe."

==================================================


Your browser is not able to display this video.
 
Mzee ungekaa kimyaa tuuu
Shida asioo ile 150m
Gafla unasema mingine 5
Huko nyuma ukuwahi sema hayo
 
Sijelewa hawa, Mbowe kaomba pesa za Usharika halafu Dr Shoo kapewa gari, mbona sielewi?
 
Kuna nini kati ya Mbowe, Ask Shoo na Samia?
Panapofuka moshi....................!!!!!
 
Kwa hiyo Mbowe ndio kahongwa...Makamu mwenyekiti atakuwa anafura huko ila na yeye... anyway tuyaache hayo🐼
 
rutto kapeleka milion 2 za Kenya
Katoliki

Wakazirudishaaaa

Asbh wakalaan kwenye press marufuku kupokea hela kwa wanasiasa
 
Usharika halikuwa na gari kwa ajili ya Askofu, Mh. Mbowe kwa kuwa ni msharika akaomba gari kwa Samia.. Samia alivyo mtoaji akatoa kutoka moyoni. Dunia ina maajabu mengi sana.
 
rutto kapeleka milion 2 za Kenya
Katoliki

Wakazirudishaaaa

Asbh wakalaan kwenye press marufuku kupokea hela kwa wanasiasa
Hivi Mbowe amewaroga na uchawi gani? halafu kesho msimame kusema Samia mbaya?
 
rutto kapeleka milion 2 za Kenya
Katoliki

Wakazirudishaaaa

Asbh wakalaan kwenye press marufuku kupokea hela kwa wanasiasa

Wamepokeeea mpaka wamechoka. Eti leo ndo wanazikataa.
Na bado watazipokea tu wananzengo wakisahau kadhia hii.
 
Alihongwa arudishe kama yule askofu wa kikatoliki aliyerudisha hela za Ruto. Apewe gari la kifahari na rais ambalo atatumia yeye na familia yake kwa sababu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…