"Kampeni hizi (Za uchaguzi wa Serikali za Mitaa) zimeanza, tumeona jinsi ambavyo viongozi wa vyama vya upinzani wanavyonyanyaswa, wanavyofanyiwa, hata mkifuatilia kwenye mtandao yapo mambo yanaendelea…Mbowe amekamatwa, yaani yaleyale yanajirudia. Tunajiuliza ni nani hao wenye hayo mamlaka, wenye hicho kiburi cha kutowasikiliza Watanzania?"- Askofu Dkt. Fredrick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini.

Kwa kuwa mbinu zote zimeshindikana na hii ndio mbinu yao ya mwisho basi hii mbinu itakaposhindwa( baada ya muda) basi ndio mwisho wa ccm na genge lake.
Askofu Dr Shoo amewataka Viongozi wa Dini kutoa tamko sasa Kwa haya yanayoendelea kwenye Uchaguzi wa serikali za Mitaa ikiwemo Kukamatwa Mbowe na Viongozi wengine wa ACT Wazalendo
Dr Shoo amehoji ni Nani huyu amekaa nyuma ya Chaguzi hizi kuanzia 2019, 2020 na sasa bado anaendeleza mambo yake Yale yale?
Shoo amesema itakuwaje kwenye Uchaguzi wa 2025 ikizingatiwa Tume ya Uchaguzi ina Neno tu " Huru" Lakini haina Uhuru wowote
Askofu amesema ni lazima Viongozi wa Dini watoe kauli sasa kabla Wananchi hawajawageukia