Wakuu,
CCM na polisi, bila manyanyaso kwa wapinzani mnaweza kutoboa kweli?
=====
"Kampeni hizi (Za uchaguzi wa Serikali za Mitaa) zimeanza, tumeona jinsi ambavyo viongozi wa vyama vya upinzani wanavyonyanyaswa, wanavyofanyiwa, hata mkifuatilia kwenye mtandao yapo mambo yanaendelea…Mbowe amekamatwa, yaani yaleyale yanajirudia. Tunajiuliza ni nani hao wenye hayo mamlaka, wenye hicho kiburi cha kutowasikiliza Watanzania?"- Askofu Dkt. Fredrick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini.