MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,502
- 1,886
Ufisadi wake weka pembeni, anachoongea ni kweli?Huyo askofu fisadi tu waongee wengine sio huyu mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufisadi wake weka pembeni, anachoongea ni kweli?Huyo askofu fisadi tu waongee wengine sio huyu mzee
Mkuu,Kwa kuwa mbinu zote zimeshindikana na hii ndio mbinu yao ya mwisho basi hii mbinu itakaposhindwa( baada ya muda) basi ndio mwisho wa ccm na genge lake.
Chama kinategemea kamba nyembamba sana ambayo ni Polisi et alAskofu Dr Shoo amewataka Viongozi wa Dini kutoa tamko sasa Kwa haya yanayoendelea kwenye Uchaguzi wa serikali za Mitaa ikiwemo Kukamatwa Mbowe na Viongozi wengine wa ACT Wazalendo
Dr Shoo amehoji ni Nani huyu amekaa nyuma ya Chaguzi hizi kuanzia 2019, 2020 na sasa bado anaendeleza mambo yake Yale yale?
Shoo amesema itakuwaje kwenye Uchaguzi wa 2025 ikizingatiwa Tume ya Uchaguzi ina Neno tu " Huru" Lakini haina Uhuru wowote
Askofu amesema ni lazima Viongozi wa Dini watoe kauli sasa kabla Wananchi hawajawageukia
Source: Jambo TV
They never care How Others feel.Japo CCM mtashinda kwa hila mjitahidi kuficha madhaifu yenu ya kuwanyanyasa wapinzani pasipo na sababu ya msingi kama ya huko Mlowo ili kuficha ushindi wenu.
Ngoja kwanza tuanze huu wa Kitaifa.Ufisadi wa maza mnautaja kauza ngoroñgoro na bàndari.
Taja na ufisadi wa askofu Shoo.
brazaj chukua hio imung'unye ikuingie kwenye ubongo ila jibu la ni nani wenye mamlaka kila mtu anawajua Chama ATunajiuliza ni nani hao wenye hayo mamlaka, wenye hicho kiburi cha kutowasikiliza Watanzania?
Nani aliekwambia kwamba wewe una haki kwenye sanduku la kura? Yaan ipo hivi km huelewi hata asipotokea mtu hata mmoja kupiga kura wao watamtangaza wa kwao ndie alieshinda wao kwao ushindi ni lazimaThey never care How Others feel.
Mental issue hii
Bila wizi? Wewe kwao wao ni takataka huna haki yoyote wao ni wao kwanza kuelewa inabidi utulie kidogo soon napigwa ban naona Mods wananijadiri ukikiongelea vibaya Chama A JF kaa mguu sawa kupigwa ban kwa hio hapa zinapigwa calculation nipigwe lupango mpaka Aprili MwakaniUkweli sisiem inabaka demokrasia .
Bila wizi hawawezi kujitegemea
They protect the regime in any way, it is difficult to care about you.They never care How Others feel.
Mental issue hii
Wewe ni nani? Mimi MwananchiThey protect the regime in any way, it is difficult to care about you.
Wakileta upuuzi watapigwa sana hizi ndio siasa analeta Dk shoo
USSR
View attachment 3159625View attachment 3159626
Hiki Chama Cha Mashetani, CCM na hawa watawala mashetani, bila kuondolewa, Taifa na wananchi watazidi kuangamia.Askofu Dr Shoo amewataka Viongozi wa Dini kutoa tamko sasa Kwa haya yanayoendelea kwenye Uchaguzi wa serikali za Mitaa ikiwemo Kukamatwa Mbowe na Viongozi wengine wa ACT Wazalendo
Dr Shoo amehoji ni Nani huyu amekaa nyuma ya Chaguzi hizi kuanzia 2019, 2020 na sasa bado anaendeleza mambo yake Yale yale?
Shoo amesema itakuwaje kwenye Uchaguzi wa 2025 ikizingatiwa Tume ya Uchaguzi ina Neno tu " Huru" Lakini haina Uhuru wowote
Askofu amesema ni lazima Viongozi wa Dini watoe kauli sasa kabla Wananchi hawajawageukia
Source: Jambo TV
Hata angesema malaika bado ungekuwa -ve kwasababu wewe ni mnufaika wa huu mfumo onezi.Huyo askofu fisadi tu waongee wengine sio huyu mzee
Kwa hiyo unafurahia vurugu za uchaguzi zinazofanywa na chama tawala kwa ajili ya kunufaisha matumbo yao?Huyo askofu fisadi tu waongee wengine sio huyu mzee
Kama fisadi asingepaswa kuongea tu kwasababu ni fisadi hapo lumumba si pangefungwa ??? Nani asiye fisadi hapo lumumba ili tumruhusu aongeeHuyo askofu fisadi tu waongee wengine sio huyu mzee
freedom is coming
freedom is comingInasikitisha sana.
Ila giza likizidi sana maana yake kunakaribia kukucha
Hawana haja na kura.Chama kinategemea kamba nyembamba sana ambayo ni Polisi et al