LGE2024 Askofu Shoo: Kampeni zimeanza na upinzani wameanza kunyanyaswa!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Japo CCM mtashinda kwa hila mjitahidi kuficha madhaifu yenu ya kuwanyanyasa wapinzani pasipo na sababu ya msingi kama ya huko Mlowo ili kuficha ushindi wenu.
 
Kwa kuwa mbinu zote zimeshindikana na hii ndio mbinu yao ya mwisho basi hii mbinu itakaposhindwa( baada ya muda) basi ndio mwisho wa ccm na genge lake.
Mkuu,
Wana mikakati mingi mno ya wizi.
Daftari la wapiga kura walilokamilisha karibuni limesheheni majina bandia mengi ili kuwapa mwanya wa kuingiza kura feki.

Pia usisahau kuwa wao wanagombea na ndiyo wasimamizi wa mchakato mzima wa uchaguzi..
 
Chama kinategemea kamba nyembamba sana ambayo ni Polisi et al
 
Japo CCM mtashinda kwa hila mjitahidi kuficha madhaifu yenu ya kuwanyanyasa wapinzani pasipo na sababu ya msingi kama ya huko Mlowo ili kuficha ushindi wenu.
They never care How Others feel.

Mental issue hii
 
Ukweli sisiem inabaka demokrasia .
Bila wizi hawawezi kujitegemea
 
They never care How Others feel.

Mental issue hii
Nani aliekwambia kwamba wewe una haki kwenye sanduku la kura? Yaan ipo hivi km huelewi hata asipotokea mtu hata mmoja kupiga kura wao watamtangaza wa kwao ndie alieshinda wao kwao ushindi ni lazima
 
Ukweli sisiem inabaka demokrasia .
Bila wizi hawawezi kujitegemea
Bila wizi? Wewe kwao wao ni takataka huna haki yoyote wao ni wao kwanza kuelewa inabidi utulie kidogo soon napigwa ban naona Mods wananijadiri ukikiongelea vibaya Chama A JF kaa mguu sawa kupigwa ban kwa hio hapa zinapigwa calculation nipigwe lupango mpaka Aprili Mwakani
 
There is a group that has a lot of wealth, the Pwani Wakwere people have only one goal, the leader of the country should not be rich, he will decide who should be the leader to achieve their goals.
 
Hiki Chama Cha Mashetani, CCM na hawa watawala mashetani, bila kuondolewa, Taifa na wananchi watazidi kuangamia.

Tuna mijitu hovyo sana nchi hii, umejaa ushenzi na uharamia mioyoni mwao, japo kauli zao ni za upole.

Lazima ifike mahali tuuvai ujasiri, hii mishetani na chama lao la kishetani, waondoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…