"Rais tuliyenaye mama Samia (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) haitaji kupigiwa debe kwa njia zisizofaa kwa sababu Mungu ameshamuweka ni Rais wetu sio tu wa kipindi hiki kimoja (mtanishangaa na kusema Askofu Shoo kapiga siasa, aah mimi nilionyeshwa na niliyasema mwanzo mwa kuingia kwa Rais, wale waliokuwa wakisema aah sijuwi nini mwanamke huyu nikawaambia hapana Mungu amepanga iwe hivyo na huyu ndiye atakuwa Rais wetu na sisi tutamuheshimu) kuna wanaotamani kwamba amalizie kwa kipindi hiki na mimi niliwauliza kwa nini sio vipindi viwili?" -Askofu Shoo
"Hawa Marais wetu tumeweka historia nzuri tu kwa mujibu wa Katiba kuwa Marais wanakaa kwa vipindi viwili huyu mnasema aishie kipindi kimoja kwa kuwa ni mwanamke?, acheni hiyo, acheni hiyo ndugu zangu, ni kwa neema ya Mungu tumepewa Rais huyu na kwa neema hiihii atahitimisha kipindi hiki cha muhula wa kwanza na kwa neema hiyohiyo ataongoza salama kwa kipindi cha pili lazima, ilimradi tu Watanzania tukiacha unafiki tuseme tuone yale ambayo ametenda, sisi hatuna mashaka, tunamuombea na Mungu atasikia maombi yetu" -Askofu Shoo
Ni ujumbe wa Askofu Dkt. Fredrick Shoo ambaye ni Mkuu wa zamani wa Kanisa la KKKT.

Hakuna askofu hapo huyo ni tapeli tu na kwa sababu analishwa na waumini wake wanao teseka hajui shida zinazowakuta waumini wake ndio maana anasifia visivyo takiwa kusifiwa.

Hakuna askofu hapo huyo ni tapeli tu.na kwa sababu analishwa na waumini wake wanao teseka hajui shida zinazowakuta waumini wake ndio maana anasifia visivyo takiwa kusifiwa.

Je, awumu ya Tano iliisha lini mpaka tunafika awamu ya sita.?
Je, awamu ni mtu au ni mfumo wa serikali baada ya wananchi kumchagua Rais na serikali yake kwa Kura .?
Je, sio awamu ya tano iliyomweka Mh. Samia kwenye nafsi ya kuweza kuendeleza kijiti baada bila kukabidhiwa na mtu wala wananchi kumchagua ili akamilishe awamu aliyokua nayo na aliyokua anaitumikia na kuifahamu vizuri.
Hii ya kuita awamu ya sita ni janja tu ya machawa ila awamu yake itaanza 2025 endapo atagombea na kushinda.
Huyu ni rais wa kujaza nafasi ya Rais aliyefia madarakani na endapo naye atafia pale (Mungu epushia mbali)basi atakua ni Mpango . Je ,mpango kwa miezi kumi au sita iliyobaki ataitwa rais wa awamu ya saba mfano imebaki miezi saba ataitwa rais wa awamu ya saba . Na mwezi wa kumi uchaguzi awe anaingia awamu ya pili. Katiba ya CCM na serikali yake ni katiba ya wahuni na watu wasiojali maslahi ya nchi zaidi ya matumbo yao.
Awamu moja ina muda wa miaka kumi na sio nane . Ikikamilishwa na miaka mitano mitano na sio mitatu.
Samia hana awamu yake ya sita bali ni ya tano na ameipata kwa utaratibu wa kuendeleza awamu aliyoitumikia kwa sifa ya umakamu wa Wa rais aliyefariki na sio kwa mamlaka ya kura za wananchi .
Awamu yake ya sita itaanza 2025 endapo atapita na hiyo ndiyo itakua awamu ya sita.