Pre GE2025 Askofu Shoo: Mungu amepanga Rais Samia kuwa Rais wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu nina swali mfano magu alikua raisi wa awamu ya tano je 2020 lissu angechukua uraisi angeitwa raisi wa awamu ya ngapi?
Bakita waeleze awamu maana yake ni nini
 
Pamoja na kwamba demokrasia yetu ni ya kuungaunga, ila huyu Askofu na wengine huwa wanazungumza kama hii nchi ya kiimla na chama kimoja cha siasa, na kwamba WaTZ hawana machaguzi mengine. 😢
 
Askofu anasahau kuwa ssh aliupata ukuu baada ya kufa mtangulizi na Si kupitia Sanduku la kura!!

Chama kuruhusu mchakato wa wazi, watu wachukue fomu,

Mchujo upite ,aliye Bora na achukue kijiti.

Tukiendekeza mambo hayo, Ule msemo wa Ndugu Chalamila utaonekana kama ulikuwa na UKWELI Fulani ilhali sio🤔
 
Mimi ni nani nimbishie mtumishi wa Mungu, haya ni maono kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…