GE2025 Askofu Shoo: Ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani Kuna uchaguzi au uchafuzi! Yeye aende tu kushiriki kwenye uchafuzi.
 
Hizi dini ni utaoeli mtupu sipotezagi muda kufatilia
 
Mk wake
 
Nenda wewe baba Askofu, si LAZIMA na si KOSA kikatiba na kisheria mtu kutopiga kura.
Ambao hawatakwenda wana sababu zao za msingi kutofanya hivyo, heshimuni maamuzi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…