GE2025 Askofu Shoo: Ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura, huku akiwataka Watanzania wasikubali mtu yeyote awaondolee haki na wajibu wao wa kuchagua kiongozi wanayemtaka.

Akizungumza leo katika Mkutano Mkuu wa 17 wa Jimbo la Kilimanjaro Kati la Dayosisi hiyo uliofanyika Majengo, Moshi, mkoani Kilimanjaro, amesema hoja inayoendelea ya watu kuacha kuona umuhimu wa kushiriki mchakato wa uchaguzi, hayo ni makosa.

"Wito wetu wote tunapoingia katika uchaguzi mkuu, tuombee mchakato mzima. Na sisi tumewahamasisha watu washiriki na kujitokeza kikamilifu katika kupiga kura.

Sisi tutambue tunao wajibu wa kuchagua, tena wajibu wa kikatiba. Tusikubali mtu yeyote atuondolee haki yetu na wajibu wetu, tusikubali. Mungu anataka tushiriki, tufanye uchaguzi, tusimame kama raia na wananchi tukachague viongozi tunaowataka.
 
Kwani kuna aliyemkataza kwenda kupiga kura? Abebe familia yake wakampigie kura wanayemtaka. Asiwapangie wengine nini cha kufanya kila mtu ana maamuzi yake!
 
Hilo kosa ni kwa mujibu wa sheria ipi. Huyu nae anastahili kuitwa mjinga na mpumbavu

Majitu yanaitwa ma somi lakini yanadanganya umma mchana kweupe
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura, huku akiwataka Watanzania wasikubali mtu yeyote awaondolee haki na wajibu wao wa kuchagua kiongozi wanayemtaka.

Akizungumza leo katika Mkutano Mkuu wa 17 wa Jimbo la Kilimanjaro Kati la Dayosisi hiyo uliofanyika Majengo, Moshi, mkoani Kilimanjaro, amesema hoja inayoendelea ya watu kuacha kuona umuhimu wa kushiriki mchakato wa uchaguzi, hayo ni makosa.

"Wito wetu wote tunapoingia katika uchaguzi mkuu, tuombee mchakato mzima. Na sisi tumewahamasisha watu washiriki na kujitokeza kikamilifu katika kupiga kura.

Sisi tutambue tunao wajibu wa kuchagua, tena wajibu wa kikatiba. Tusikubali mtu yeyote atuondolee haki yetu na wajibu wetu, tusikubali. Mungu anataka tushiriki, tufanye uchaguzi, tusimame kama raia na wananchi tukachague viongozi tunaowataka.
Huyu ndie mtu wa Mungu kweli, anafundisha watu wampe Mungu yaliyo ya KiMungu na kumpa Kaizari yale yaliyo ya Kaizari.

Mkuu wa KKKT na maaskofu wa dayosisi zote, wanapaswa kuiga mfano huu, na sisi Katoliki, Bazara la Maaskofu Katoliki, TEC, linatakiwa kutuhamasisha Wakotoliki kujitokeza kwa wingi kupiga kura.

Kiukweli mimi binafsi, namkubali sana Askofu Dr. Frederick Shoo
View: https://youtu.be/lVcGJIsWZ9g?si=BRbtQG_sQNTOCeLu

Mungu ambariki sana

P
 
Tunashukuru kwa taarifa, je ni sheria ipi inakua imevunjwa? Elimu kidogo katka hili.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Week Moja kabla ya kiini macho tuanzishe kampen ya kukumbusha namna mafisaid wanavyoharibu nchi tukumbushane tuu
 
Kwanini hawazungumzii, mambo ya msingi kama watu kudhulumiwa haki zao za msingi kabisa za kuishi ?
 
Makosa kwa Katiba ya wapi ? Sio Tanzania....

Na vipi kama unayemtaka hayupo ? Unakwenda kufanya nini ? Sababu those who nominates Chooses na sio wewe Raia

Huyu chawa bado hajastaafu uaskofu?

Nilifikiri alishawaachia maaskofu wa kweli akina Lwakalinda Kalikawe Bagonza ambao angalau wanatambua kwamba huwezi kuwa na amani ya kweli bila haki ya kweli.
 
Shoo kijana wake Mbowe alitupwa nje ya System aweke kifungu cha sheria
 
Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura, huku akiwataka Watanzania wasikubali mtu yeyote awaondolee haki na wajibu wao wa kuchagua kiongozi wanayemtaka.

Akizungumza leo katika Mkutano Mkuu wa 17 wa Jimbo la Kilimanjaro Kati la Dayosisi hiyo uliofanyika Majengo, Moshi, mkoani Kilimanjaro, amesema hoja inayoendelea ya watu kuacha kuona umuhimu wa kushiriki mchakato wa uchaguzi, hayo ni makosa.

"Wito wetu wote tunapoingia katika uchaguzi mkuu, tuombee mchakato mzima. Na sisi tumewahamasisha watu washiriki na kujitokeza kikamilifu katika kupiga kura.

Sisi tutambue tunao wajibu wa kuchagua, tena wajibu wa kikatiba. Tusikubali mtu yeyote atuondolee haki yetu na wajibu wetu, tusikubali. Mungu anataka tushiriki, tufanye uchaguzi, tusimame kama raia na wananchi tukachague viongozi tunaowataka.

..hakuna mtu atashiriki uchaguzi usio wa haki.
 
Shoo alikuwa upande wa Mbowe. Na Mbowe sasa yupo upande wa CCM. WHat you expect?
 
Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura, huku akiwataka Watanzania wasikubali mtu yeyote awaondolee haki na wajibu wao wa kuchagua kiongozi wanayemtaka.

Akizungumza leo katika Mkutano Mkuu wa 17 wa Jimbo la Kilimanjaro Kati la Dayosisi hiyo uliofanyika Majengo, Moshi, mkoani Kilimanjaro, amesema hoja inayoendelea ya watu kuacha kuona umuhimu wa kushiriki mchakato wa uchaguzi, hayo ni makosa.

"Wito wetu wote tunapoingia katika uchaguzi mkuu, tuombee mchakato mzima. Na sisi tumewahamasisha watu washiriki na kujitokeza kikamilifu katika kupiga kura.

Sisi tutambue tunao wajibu wa kuchagua, tena wajibu wa kikatiba. Tusikubali mtu yeyote atuondolee haki yetu na wajibu wetu, tusikubali. Mungu anataka tushiriki, tufanye uchaguzi, tusimame kama raia na wananchi tukachague viongozi tunaowataka.
Wewe na huyo msenge mwenzako anayejiita shoo mnafirw@
 
Back
Top Bottom