Kuna Nchi zinalazimisha Watu Kupiga Kura

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,416
Ukishangaa ya Waiba Kura yaani Upige, Usipige, itapigwa... Kuna nchi zinalazimisha ukapige! na Ajabu zaidi kuna zile zinaruhusu mtu kutuma mtu akampigie kwa kumpa Power of Attorney!!!

1757677697785.png

October 29/10/2025 Samia Samir kuzuia maandamano au kuhesabu kura zake feki.
Huku ni kushikana Masharubu..., Two Wrongs don't make a Right; Unategemea Kabisa ukiomba kuandamana (ambayo ni Haki yako Kikatiba na Kisheria, Siku ambayo imetengwa kama Public Holiday kwa Shughuli fulani) Unadhani utapewa Kibali Hicho ?

Na ukinyimwa utasema Umeonewa ?
 
Vidiaspora hivyo kutwa kucha humu kuitisha maandamano....
 
Kunahaja ya kuanzisha mfumo mpya wa kupigia kula, nitakuja na huo mfumo baadae bado nahangaika na Yanga day kwanza.
 
Huku ni kushikana Masharubu..., Two Wrongs don't make a Right; Unategemea Kabisa ukiomba kuandamana (ambayo ni Haki yako Kikatiba na Kisheria, Siku ambayo imetengwa kama Public Holiday kwa Shughuli fulani) Unadhani utapewa Kibali Hicho ?

Na ukinyimwa utasema Umeonewa ?
Maandamano ni haki ya kikatiba, kibali hayaombwi ni mambo ya kutoa tu taarifa polisi. Mwenye nchi ni mwananchi.
 
Huku ni kushikana Masharubu..., Two Wrongs don't make a Right; Unategemea Kabisa ukiomba kuandamana (ambayo ni Haki yako Kikatiba na Kisheria, Siku ambayo imetengwa kama Public Holiday kwa Shughuli fulani) Unadhani utapewa Kibali Hicho ?

Na ukinyimwa utasema Umeonewa ?
Wanaosema kutakua na maandamano siku ya uchaguzi ni matapeli..

Wote tunatska mabadiliko ila sio kwa kuingizana mkenge
 
Maandamano ni haki ya kikatiba, kibali hakiombwi ni mambo ya kutoa turn taarifa polisi. Mwenye nchi ni mwananchi.
Naam, na kwanini unatoa taarifa polisi ? Si ili Polisi waone kama utafanya maandamano yako vizuri bila shida kwako au kwa mwingine yoyote ? Sasa kwa kushauriana nao (Na wenyewe kama Chombo cha Usalama wana Loophole ya kuona au kusema hii siku sio sahihi inaweza kuleta shida moja au nyingine - be it fairly or unfairly);

Sasa swali litakuja why that day ? Wewe huwezi kufanya maandamano yako jana yake au keshokutwa yake ? Na kama hio siku ni so important kwako na lazima ifanyike siko hio (mfano kumbukizi fulani) Je ulitoa taarifa muda wa kutosha ili shughuli nyingine kama zingeweza kufanyika zisogezwe mbele au nyuma ili kupisha Haki yako ?!!!!

Quoting Sun Tzu.....
"Strategy without tactics is the slowest route to victory. Tactics without strategy are the noise before defeat."
True victory comes from meticulous planning and pre-emptive action, not just brute force​

Watawala they have the upper hand na lazima uwe cunning and clever kuliko wao; wanaweza kutumia old tricks in the book (kama walizotumia USA na Mohammad Mosaddegh kule Iran) au Serikali na Goons against Gen Z huko Kenya; kwa kuonga wachache kufanya fujo kwa kujifanya na wao ni upinzani ili tu public kuwa against hao waandamanaji kwamba ni wafanya fujo...​
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Wanaosema kutakua na maandamano siku ya uchaguzi ni matapeli..

Wote tunatska mabadiliko ila sio kwa kuingizana mkenge
Mimi am all for mtu kudai so called Haki yake ila aende yeye kama yeye na sio kuwa - convince watu au kuwanyanyapaa ambao hawaendi sijui ni waoga n.k. wewe kama unataka nenda wewe na sio lazima muwe wengi unaweza ukafanya kama yule Jamaa kule Tunisia aliyejitia kiberiti kwenye mnara...,

The Tunisian who is most well-known for setting himself on fire is Mohamed Bouazizi, a fruit and vegetable seller whose self-immolation in 2010 in protest against police corruption and economic hardship sparked the Arab Spring and led to the overthrow of Tunisia's president.

There is more than one way to skin a cat..., and being a sacrificial lamb aint one of them in my book.... (unless unafanya mwenyewe kwa utashi wako na sio kushinikizwa)
 
Naunga mkono mkuu
 
Naam, na kwanini unatoa taarifa polisi ? Si ili Polisi waone kama utafanya maandamano yako vizuri bila shida kwako au kwa mwingine yoyote ? Sasa kwa kushauriana nao (Na wenyewe kama Chombo cha Usalama wana Loophole ya kuona au kusema hii siku sio sahihi inaweza kuleta shida moja au nyingine - be it fairly or unfairly);

Sasa swali litakuja why that day ? Wewe huwezi kufanya maandamano yako jana yake au keshokutwa yake ? Na kama hio siku ni so important kwako na lazima ifanyike siko hio (mfano kumbukizi fulani) Je ulitoa taarifa muda wa kutosha ili shughuli nyingine kama zingeweza kufanyika zisogezwe mbele au nyuma ili kupisha Haki yako ?!!!!

Quoting Sun Tzu.....
"Strategy without tactics is the slowest route to victory. Tactics without strategy are the noise before defeat."
True victory comes from meticulous planning and pre-emptive action, not just brute force​

Watawala they have the upper hand na lazima uwe cunning and clever kuliko wao; wanaweza kutumia old tricks in the book (kama walizotumia USA na Mohammad Mosaddegh kule Iran) au Serikali na Goons against Gen Z huko Kenya; kwa kuonga wachache kufanya fujo kwa kujifanya na wao ni upinzani ili tu public kuwa against hao waandamanaji kwamba ni wafanya fujo...​
We nawe Nepal waliomba kibali?
Wananchi kuandamana ni haki yao na wao ndio wenye nchi..!!
 
Wanaotaka kupiga kura au kuwapa KULA HAO WALAFI NA WAHUNI. Waendeleee na wakati wao.
Ila wengine hawana muda huo, unapiga itakayoharibiwa?!
Ushaambiwa kura yako si lolote si chochote kwao (chukuwachakomapema ) washatengeneza hesabu za kura, sasa unapanga foleni ya nini? Kweli huna kitu kingine cha kufanya maishani mwako?!
 
We nawe Nepal waliomba kibali?
Kwahio unaona Nepal ndio Template ya Mabadiliko ?
Wananchi kuandamana ni haki yao na wao ndio wenye nchi..!!
Kuna aliyebisha hayo ila unapoomba kibali na kutoa taarifa ni kwa ajili ya usalama wako pia na inabidi kulindwa wananchi wakishaamua hakuna wa kuwazuia wala hakuna numbers za kuweza kuwazuia (ila swali linakuja ni wangapi at any given time wameunganishwa kwa ajili ya common enemy / cause) na kuhusu Haki sio lazima wawe wengi hata wakiwa wachache pia wanahaki ya kufanya protest / kufikisha malalamiko yao; ila swali linakuja Maandamo (Marching) is it the only way of Protest ? And at that day can you guarantee hakuna hata mtanzania mwenzetu mmoja hatapata matatizo yoyote yeye au mali zake ? And the sent message will it be effective for the better (is there no any other way) ?
 
Wanaotaka kupiga kura au kuwapa KULA HAO WALAFI NA WAHUNI. Waendeleee na wakati wao.
Ila wengine hawana muda huo, unapiga itakayoharibiwa?!
Ushaambiwa kura yako si lolote si chochote kwao (chukuwachakomapema ) washatengeneza hesabu za kura, sasa unapanga foleni ya nini? Kweli huna kitu kingine cha kufanya maishani mwako?!
Wengine haya tulishayaona sio leo wala jana bali kitambo Sana; By the way Kudhani kwamba Wewe ndio unayemuweka Kiongozi Madarakani kwenye hizi Tamthiliya ya So called Democracy ni an illusion (ila sio mbaya kama maigizo hayo anayeigiziwa hajui kama ni maigizo)

Kwahio unaona Nepal ndio Template ya Mabadiliko ?
Ndio, kwa viongozi wabishi na wasiojali wananchi wake Nepal wametupa somo..!!
Kuna aliyebisha hayo ila unapoomba kibali na kutoa taarifa ni kwa ajili ya usalama wako pia na inabidi kulindwa wananchi wakishaamua hakuna wa kuwazuia wala hakuna numbers za kuweza kuwazuia (ila swali linakuja ni wangapi at any given time wameunganishwa kwa ajili ya common enemy / cause) na kuhusu Haki sio lazima wawe wengi hata wakiwa wachache pia wanahaki ya kufanya protest / kufikisha malalamiko yao; ila swali linakuja Maandamo (Marching) is it the only way of Protest ? And at that day can you guarantee hakuna hata mtanzania mwenzetu mmoja hatapata matatizo yoyote yeye au mali zake ? And the sent message will it be effective for the better (is there no any other way) ?
Kwa polisi wa nchi hii wanakubali kutoa vibali na kulinda wananchi??

Mara ngapi watu wanaomba vibali vya kufanyia mikutano tu na wanawanyima. Au wanawapa kisha wanaanza wao kuwafanyia vurugu.

Halafu hakuna maandamano ya wananchi wanaotaka mabadiliko kusitokee madhara sababu polisi wanakuwa kinyume na wananchi..!!
 
Wanaosema kutakua na maandamano siku ya uchaguzi ni matapeli..

Wote tunatska mabadiliko ila sio kwa kuingizana mkenge
We bwabwa maandamano ni haki ya kikatiba, unaweza ukabakwa usipojua haki zako au hata ukijua kama akina Agatha na yule jamaa Boniface.
 
Ndio, kwa viongozi wabishi na wasiojali wananchi wake Nepal wametupa somo..!!
Wametoa somo kwa wasiojua masomo; Chini ya Jua hakuna Historia mpya na haya yameshatokea kitambo na yataendelea kutokea sana sasa kutokana na ukosefu wa ujira na gap in classes tegemea yataendelea kutokea na isingekuwa Muslim Brotherhoods huko Arab Springs kuonekana kwamba ni wabaya zaidi ya waliotoka haya machafuko yangeshasambaa kitambo sana...;

Na katika kupewa Somo na Nepal hujasoma Chapter ya inachofuata hizi Abrupt Power Vacuum zinazotokea mara nyingi wanufaika wakubwa ni Wapiga Siasa wachache (mfano Raila na Gen Z Kenya) au wanaokuja kuja na Ajenda mbaya zaidi (Muslim Brotherhood na French Revolutionist na Guillotine zao); In short wanaotakiwa wapate Somo ni Walamba Asali kujifunza kula na Vipofu sababu ikishafika point of no return Gharama huwa ni kubwa na mbaya zaidi...; Na Hatari hio inasababishwa na Ukosefu wa Ujira wa Wengi, Maisha Magumu huku wachache wanafuja kwa Uwazi na Kujionyesha - Kwahio kila siku nasema bila mabadiliko ya watawala kujua kula na Vipofu Tegemea Machafuko makubwa na mabaya zaidi na itakapotokea Tanzania ni kubwa na Hakuna atakayeweza kuzuia na yataondoka na wengi hata wasio na Hatia (Mchuma Janga hula na Wakwao)
Kwa polisi wa nchi hii wanakubali kutoa vibali na kulinda wananchi??
Hawakubali na watatafuta sababu ya kusingizia kwamba kuna sababu za ki-inteligensia; sasa wewe muombaji / mtoa taarifa sio kwamba uache kutoa taarifa au ukiona njia hio wanabana jaribu kutafuta njia nyingine na wala usichoke kwa kusubiri kila mwaka wa uchaguzi kuanza struggle bali kila siku watetee wenye nchi kwa kuwaonyesha upo tofauti na wanachokipata ni hafifu and they can do better ; kuna madude mengi ya ajabu yanafanyika sasa hivi; wenyenchi kitaa wamechoka lazima uwaonyeshe wewe ni mmoja wao kwa kuwatetea kila wanapobanwa na sio tu kutetea Kura zao zikuchague wewe unapoenda Kula na kuwasahau (Politicians wamekuwa Makasongo).

Hivyo hata changes zitakazokuja zitaletwa na raia wenyewe kutokana na ugumu wa maisha na kukosa Hope (na hilo natabiri sio leo wala kesho bali hawa Gen Alpha watakapokuwa wakubwa) sababu then watakuwa hawana hope tena wala uwezo wa kutoka kwenye Poverty Cycle...
Mara ngapi watu wanaomba vibali vya kufanyia mikutano tu na wanawanyima. Au wanawapa kisha wanaanza wao kuwafanyia vurugu.
Naam wakinyimwa wanakuwa na sababu kwamba tuliomba tukanyimwa na sio kufanya tu bila taarifa na hata watawala wanaweza kusababisha vifo au vurugu na kuwasingizia - Ndio maana nikasema this is the oldest trick in the books hapo Kenya Watawala wanakodi ma Goons kuchoma moto vitu na kuna watu walikuwa wanapanga kuwafanyia fujo wanawake na kuwanyanganya simu ili raia kuona kwamba Gen Z ni wakorofi hilo pia lilitokea USA alivyoibaka Demokrasia kule Iran; kwahio you must be very calculating and cunning unapopambana na watawala (unless maadamano hayo yaletwe na Raia wenyewe bila kuitwa au kupangiwa na Mwanasiasa -Na hicho kitatokea tu iwapo kutakuwa na muunganiko wa common goals / enemy; na kwa Tanzania hapo bado hatujafika labda Gen Alpha watakapokuwa wamepigwa na Ufukara na kukosa Hope - Kama wenzao madogo wa Kenya
Halafu hakuna maandamano ya wananchi wanaotaka mabadiliko kusitokee madhara sababu polisi wanakuwa kinyume na wananchi..!!
Ndio maana nikasema hata ukiwa mmoja unaweza ukaenda kama Bwana Mohamed Bouazizi wa Tunisia au hata Alaa Salah wa Sudan lakini kwa my Opinion in Tanzania the time is not Ripe yet ingawa watawala wasipobadilika itakuja (watu bado hawajakosa Hope ingawa wamepigika wengine wanaona huenda watakuwa machawa wapate mkate wa familia zao au wengine bado wana ndoto za huenda huu Mwaka ndio Mwaka wa Kofosi kwamba lazima utawaita Boss) ;
 
Back
Top Bottom