Kuna Nchi zinalazimisha Watu Kupiga Kura

Kuna Nchi zinalazimisha Watu Kupiga Kura

kwa my Opinion in Tanzania the time is not Ripe yet ingawa watawala wasipobadilika itakuja (watu bado hawajakosa Hope ingawa wamepigika wengine wanaona huenda watakuwa machawa wapate mkate wa familia zao au wengine bado wana ndoto za huenda huu Mwaka ndio Mwaka wa Kofosi kwamba lazima utawaita Boss) ;
Nakuunga mkono asilimia zote mkuu, na kama na muda muafaka ni hii window ya 2025 kwenda 2030. Ndo itatoa jibu

Hawa wanaohisi tarehe 29 yanawezekana wanaota ndoto ya mchana
 
Vidiaspora hivyo kutwa kucha humu kuitisha maandamano....
Mkuu,

Mbona unawabagaza watu katika kutumia haki yao ya kikatiba na ya kibinadamu?

Kama unaona njia hii si effective si uwaache tu watakuja kuona wenyewe?

Kwa nini unaona umuhimu wa kuwabagaza watu hivi kwa kutumia haki yao ya kikatiba na kibinadamu?
 
Maandamano ni haki ya kikatiba, kibali hayaombwi ni mambo ya kutoa tu taarifa polisi. Mwenye nchi ni mwananchi.
Ngoja tuongelee hii Haki kwa Undani ambayo sio Kikatiba tu bali hata kiubinadamu na kwa Mikataba Mingi ambayo Tanzania imeingia; ni Haki ya Msingi mtu kutoa dukuduku zake na mwisho wa siku ikitumika vizuri inaweza kujenga Amani (kwa watu kutokuona kwamba tunaonewa na hatuna pa kusemea)

Moja hata hio Taarifa unahitaji kutoa kama una protest sehemu za UMMA; kama unaandamana nyumbani kwako au uwani wala hakuna uhitaji wa kutoa Taarifa.

Mbili Haki yako hio ya Msingi unaweza kuifanya lakini kuna watu hawakupendi hivyo wakakufanyia fujo au kuleta uharibifu wa mali na kuhatarisha maisha yako na yao, hivyo unavyowataarifu ni kuweka mambo sawa ili uweze kufanya protest yako bila bughudha, na kwa kupewa ulinzi kwako na kwa wengine.

Tatu Sababu ni sehemu ya UMMA haki yako inabidi isiwe Kero kwa Haki ya mwingine hivyo inabidi kama kuna watu sehemu husika waweze kuambiwa leo wavumilie kidogo kuna watu wanatekeleza haki zao; Sasa huoni kwamba ki-ubinadamu na ustaarabu unaweza ukaambiwa hio siku unayotaka kufanya wewe Haki yako kuna kina CHAUMMA, CUF na wengine wowote nao wanafanya haki yao (Kwahio kwa macho ya Waziri wa Mambo ya Ndani; kupitia so called Inteligensia yake na Polisi na kwa kutumia loophole wanaweza wakasema Haki yako italeta Kero kwa Haki ya Wengine)

Nne kama nilivyosema hizi Sheria mwisho wa siku zinalinda Mamlaka na kuna loopholes ambazo Mamlaka inaweza kuzitumia mfano katika maandamano Waziri wa Mambo ya Ndani anaweza akapinga Sheria hii ya Haki ya Maandamano na anachoamua ni Final (Sasa unaweza ukasema hii ni mbaya na inaonea wengine na ibadilishwe) ila tukiangalia kwa jicho la Tatu je unaona itakuwa sawa na Haki kwa Jamii nzima mtu yoyote popote siku yoyote kuweza kufanya maandamano ? (Huenda ndio lakini Je Haki ya wale ambao hawahusiki kwenye hayo maandamano unazilinda vipi ?; Kama ni mara moja moja sawa ila vipi kama hii ndio ikiwa ni utamaduni kwamba tukishaamua lazima tufanye to hell with everyone else....


NINI KIFANYIKE GOING FORWARD....
  • Kwa upande mmoja lazima tujiulize tupate njia nzuri ya kila mtu kupata Haki yake bila bughudha kwa mwingine (unless wote kwa wakati huo tunataka Maandamano); Tunaweza kutenga sehemu ya Maandamano / Protest mwaka nzima 24/7 ili kila mwenye dukuduku lake aweze kulitoa kila akitaka kufanya hivyo.
  • Mbili Je karne hii ya Sayansi na Teknolojia na Ma TikTok na Social Media ni lazima uamke na kwenda sehemu na kuhatarisha maisha yako ili kufikisha ujumbe ? (inabidi watu wanao-protest watafute njia mbadala na more effective; Mfano wanaweza wakawa wanaji-organize wachache wachache kwenye Kata zao na Majimbo yao kuwashinikiza viongozi wao (Wabunge; Madiwani; n.k.) kuhusu Kero zao i.e kama Tea Party USA
  • Tatu; mambo yakiendelea hivi wala hakuna haja ya ku-mbolize watu ili wafanye protest naturally tu mambo yataanza kwenda ndivyo sivyo kwa watu kuonyesha grievances zao kila kona ya nchi (ingawa huko sio pa kuombea kufika sababu mkishafika huko kurudi kwenye reli inachukua muda na nguvu kubwa...)
HITIMISHO
linapokuja suala la sehemu ya UMMA na kuna different players wenye matakwa tofauti ni vigumu practically kusema kila anayetaka kufanya kitu (protest) na aweze kufanya wakati wowote popote bila kuweza kuleta Kero kwa Wengine (Pia historia inatuambia Serikali inaweza kutumia loophole hio ya kuweka Mamluki hivyo kuharibu Protest ya wahusika kwenye macho ya UMMA (public opinion) refer the case of Mohamed Mosaddegh alivyochezewa na CIA kwa kuwekewa Mamluki waliojifanya ni wafuasi wake na kila baada ya Mkutano kufanya looting ya Maduka hivyo Public kumchukia na Jeshi ikabidi limuondoe ; Hivyo kama tunataka kwenda that route (itengwe sehemu yoyote ya kuweza kufanya protest wakati wowote, muda wowote) AU tuendelee hivi kwamba mtu akitoa ample time atleast once a year au mara chache basi apewe Haki hio hata wale wanaoweza kupata Kero wanaweza wakavumilia kama ni mara chache chache; Ila walioweka hitaji la utoaji taarifa nadhani they meant well.... hata kama Mamlaka inatumia huo Mwanya kuzuia Haki za Wengine.

Ingawa better option protesters inabidi waje na njia mbadala.., mfano take a lesson ya mtu kama Gandhi alivyoamua kuvaa shuka ili kuachana na nguo ambazo zilikuwa za wakoloni., it was a minor gesture with big impact....
 
Huku ni kushikana Masharubu..., Two Wrongs don't make a Right; Unategemea Kabisa ukiomba kuandamana (ambayo ni Haki yako Kikatiba na Kisheria, Siku ambayo imetengwa kama Public Holiday kwa Shughuli fulani) Unadhani utapewa Kibali Hicho ?

Na ukinyimwa utasema Umeonewa ?
Kuandamana hupaswi kuomba ruhusa.

Huwezi ruhusiwa kuandamana kuwapinga wao hao unaowaomba ruhusa.
 
Kuandamana hupaswi kuomba ruhusa.

Huwezi ruhusiwa kuandamana kuwapinga wao hao unaowaomba ruhusa.
Unapaswa kutoa taarifa kama unaandamana sehemu ya UMMA na hio ni kwa ajili ya kuweza kulindwa hata wewe sababu unaweza ukawa ni minority au kufanyiwa fujo (hio ndio sababu kuu ya kuweka kipengele hicho ambacho kinaweza kutumika kama loophole na serikali) ila kama unaandamana huko uani kwako unaweza kulianzisha bila shida..., Na mbaya zaidi kwa kutoa hii taarifa Waziri wa mambo ya ndani anaweza akakataa na kusitisha hii Haki yako (na decision yake ni final); Sasa labda cha kujiuliza going forward tunafanya nini (either kubadilisha mbinu za mashambulizi kama wadai haki zetu; au kutenga sehemu husika za maandamano 24/7 mwaka mzima ambapo kila mwenye grudge anaweza kufanya lake) - Na hii siku mfano ukitoa taarifa na Inteligensia zikasema (fairly or unfairly) kwamba hii siku kuna watu wanakamilisha haki yao katika hizo sehemu za UMMA (kwahio jambo lenu msifanye leo) unadhani hio itakuwa sio plausible argument ?

Sababu bila ya muamko wa kwamba ni jamii nzima ina-protest kuhusu jambo fulani tutaendelea kuumiza watu wetu kwa kuumizwa na bila kupata any favorable outcome.
 
Unapaswa kutoa taarifa kama unaandamana sehemu ya UMMA na hio ni kwa ajili ya kuweza kulindwa hata wewe sababu unaweza ukawa ni minority au kufanyiwa fujo (hio ndio sababu kuu ya kuweka kipengele hicho ambacho kinaweza kutumika kama loophole na serikali) ila kama unaandamana huko uani kwako unaweza kulianzisha bila shida..., Na mbaya zaidi kwa kutoa hii taarifa Waziri wa mambo ya ndani anaweza akakataa na kusitisha hii Haki yako (na decision yake ni final); Sasa labda cha kujiuliza going forward tunafanya nini (either kubadilisha mbinu za mashambulizi kama wadai haki zetu; au kutenga sehemu husika za maandamano 24/7 mwaka mzima ambapo kila mwenye grudge anaweza kufanya lake) - Na hii siku mfano ukitoa taarifa na Inteligensia zikasema (fairly or unfairly) kwamba hii siku kuna watu wanakamilisha haki yao katika hizo sehemu za UMMA (kwahio jambo lenu msifanye leo) unadhani hio itakuwa sio plausible argument ?

Sababu bila ya muamko wa kwamba ni jamii nzima ina-protest kuhusu jambo fulani tutaendelea kuumiza watu wetu kwa kuumizwa na bila kupata any favorable outcome.
Hivyo ukitaka kuandamana kuhusu kulalamikia utendani mbovu na uonevu wa wizara ya mambo ya ndani na jeshi la polisi unategemea watakupa kibali na ulinzi?
 
Hivyo ukitaka kuandamana kuhusu kulalamikia utendani mbovu na uonevu wa wizara ya mambo ya ndani na jeshi la polisi unategemea watakupa kibali na ulinzi?
Hapa kuna Unachotakiwa Kufanya; Pia Kuna kitakachofanyika / Uhalisia pale utakapofanya unachotakiwa kufanya....

Unachotakiwa kufanya lazima ukifanye hususan wewe kama ni taasisi na unachofanya kinaweza kikawa na matokeo mabaya kwa watu baki au kutumiwa na watu baki kudhuru wengine (Kwahio kama ni Taasisi lazima ufuate matakwa yanavyosema) na ujitahidi kufuata matakwa ya aliyepo madarakani huku ukitegemea kuchezewa faulo...; (Hence you need to Be clever, cunning na huku ukiangalia the Court of Public Opinion, Sababu after all in Politics it's all that matters);

Kama ni kitu kimetokea abrubtly na kadamnasi (UMMA) ambao umechoka na una grievances hakuna wa kuweza kuwazuia ndio maana watawala inabidi wawe na busara ili tusifike huko kama Jamii...

Kumbuka pia kuna Haki yako wewe mwenye grievances na kuna Haki ya wengine ambao huenda hawana grievances kama zako kwahio grievances zako inabidi kuwa-accomodate wasio na grievances (hivyo inabidi muwe na communication baina yenu) Ukizingatia sisi kama jamii hatuna a designated area ya wewe kuweza kutoa griavences zako anytime anyday; hivyo ukitoa taarifa ukaambiwa leo kuna watu wanafanya yao na kuja kwako leo kwa grieances zako huenda kutatokea fujo...; unadhani wewe ambaye at that given time hauna Dola unaweza ukabisha ?; Na je hao so called dola na inteligensia zao hawana plausible reason ya kusema msifanye leo maandambano yenu labda mfanye kesho ?; Ukizingatia hayo maandamano sio Kumbukizi la tarehe hio Husika !!!

Advice from Sun Tzu;
Sun Tzu advised avoiding direct confrontation with a stronger enemy and instead focusing on strategies that exploit their weaknesses, such as attacking where they are unprepared, dividing their forces, or using indirect methods to achieve submission without fighting. He emphasized knowing yourself and your enemy to ensure strategic superiority and recommended evading superior strength and making the enemy overconfident by appearing weak to achieve victory.
 
Itajulikana iyo tar 29
Kulazimishwa (hapana Tanzania Kura sio Mandatory); Kuhusu - Upige usipige, zitapigwa ? Hilo mbona sehemu nyingi sana limekuwa wazi hadi kupelekea wengine kusema kitambo....

 
Back
Top Bottom