saidi kindole
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 311
- 796
Sasa mbona wakati huo huo akiasa dini ijitenge na siasa halafu anachukizwa tena na mgombea wake kufanyiwa fujo?!Wakati wa uchaguzi mkuu tujiepushe sana na “MABARADHULI” na wachochezi wenye nia ya kuleta magomvi, na FUJO, nimesikitishwa sana na VITENDO ambavyo vinafanywa na vijana WAHUNI wachache, sijajua nani anawaongoza kushambulia mikutano ya wanaotafuta WADHAMINI”- Askofu Shoo
“Jambo hili (la kuvamia wanaopita kutafuta wadhamini) linafaa kukemewa kwa sababu huo ni mwanzo wa jambo la HATARI ambalo linaweza kuleta shida na kuvuruga amani”- Askofu Shoo
Naweza kusema.. MTU MUOVU KULIKO WOTE NI YULE ANAE MUWEZESHA MTU MUOVU KUTAWALA..,Hii kauli ni tata sana.. Akili kichwani.Mwaka huu mwezi oktoba kutakuwa na uchaguzi mkuu katika nchi yetu, majira haya ni majira ya uchaguzi wa serikali kuu, kuchagua Rais, wabunge na madiwani-Askofu Shoo
Wakati wa uchaguzi mkuu tujiepushe sana na “MABARADHULI” na wachochezi wenye nia ya kuleta magomvi, na FUJO, nimesikitishwa sana na VITENDO ambavyo vinafanywa na vijana WAHUNI wachache, sijajua nani anawaongoza kushambulia mikutano ya wanaotafuta WADHAMINI”- Askofu Shoo
“Jambo hili (la kuvamia wanaopita kutafuta wadhamini) linafaa kukemewa kwa sababu huo ni mwanzo wa jambo la HATARI ambalo linaweza kuleta shida na kuvuruga amani”- Askofu Shoo
“Mimi naweza kusema MTU muovu kupita wote ni yule anayeruhusu watu waovu kutawala, hii inafanyika kwa kuto kushiriki kikamilifu katika michakato yote sahihi ya kuwapata viongozi kama maneno yasemayo siasa ni mchezo MCHAFU”- Askofu Shoo
Mbona anarudia rudia hayo maneno. Juzi tumemsikia akisema na leo tena anasema hivyo hivyo, kulikoni?Mwaka huu mwezi oktoba kutakuwa na uchaguzi mkuu katika nchi yetu, majira haya ni majira ya uchaguzi wa serikali kuu, kuchagua Rais, wabunge na madiwani-Askofu Shoo.
Wakati wa uchaguzi mkuu tujiepushe sana na “MABARADHULI” na wachochezi wenye nia ya kuleta magomvi, na FUJO, nimesikitishwa sana na VITENDO ambavyo vinafanywa na vijana WAHUNI wachache, sijajua nani anawaongoza kushambulia mikutano ya wanaotafuta WADHAMINI”- Askofu Shoo.
“Jambo hili (la kuvamia wanaopita kutafuta wadhamini) linafaa kukemewa kwa sababu huo ni mwanzo wa jambo la HATARI ambalo linaweza kuleta shida na kuvuruga amani”- Askofu Shoo.
“Mimi naweza kusema MTU muovu kupita wote ni yule anayeruhusu watu waovu kutawala, hii inafanyika kwa kuto kushiriki kikamilifu katika michakato yote sahihi ya kuwapata viongozi kama maneno yasemayo siasa ni mchezo MCHAFU”- Askofu Shoo.
Atayarudia zaidi na zaidi mpaka mkome tabia zenu za ajabu, hii nchi ni yetu sote, acheni viburi vyenu.Mbona anarudia rudia hayo maneno. Juzi tumemsikia akisema na leo tena anasema hivyo hivyo, kulikoni?
hapo najua utakuwa haujapenda, we ulitaka kumsikia akimshukuru "mungu" kutuletea "yesu" kutoka chatoo!.Mbona anarudia rudia hayo maneno. Juzi tumemsikia akisema na leo tena anasema hivyo hivyo, kulikoni?
Nyie vijana wa ufipa mna nini lakini?Atayarudia zaidi na zaidi mpaka mkome tabia zenu za ajabu, hii nchi ni yetu sote, acheni viburi vyenu.
Ndio wapi huko?hapo najua utakuwa haujapenda, we ulitaka kumsikia akimshukuru "mungu" kutuletea "yesu" kutoka chatoo!.