Askofu Shoo, Wabunge Timotheo Mzava wa Korogwe na Dkt. Pallangyo wa Arumeru wanalichafua kanisa au wanachafuliwa?

Hili kanisa si ndo lile ambalo lilisema Makonda atafaa kumrithi Mwendazake au nmefananisha. Si ndo Hilo Hilo lilikaa kimya wakat Tundu Lissu anapigwa Risasi.
 

Labda nikuulize wakili msomi,ina maana Ndoa ya kiserekali haitambuliki na ni dhambi kwa wake waumimi wa katoliki?
 
Kama Anna na Mzava waliishi kama mume na mke Kwa zaidi ya miaka miwili, hapo Kuna presumption of marriage.

Anna ana pingamizi halali, asikilizwe.
Proof ya presumption of marriage haiishii kwenye kuishi zaidi ya miaka miwili pekee. Rudi usome upya S.160(1) of LMA between lines
 
Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...
 
Hivi lile la Tangazo la Siku 21 kukaribisha endapokuna pingamizi no kwa mujibu wa Sheria ya Serikali au Kanisa!???
Hata hivyo maadam wahusika ni Wabunge wa CCM Acha wapambane na hali yao!
Ni kwa mujibu wa Sheria ya Serikali.
 
Kama Anna na Mzava waliishi kama mume na mke Kwa zaidi ya miaka miwili, hapo Kuna presumption of marriage.

Anna ana pingamizi halali, asikilizwe.
Inaitwa rebuttable presumption of marriage na sio presumption of marriage. Tafsiri yake ni kuwa, kunakuwa na dhana ya ndoa, dhana inayoweza kupingwa mahakamani kuwa sio sahihi.
 
Proof ya presumption of marriage haiishii kwenye kuishi zaidi ya miaka miwili pekee. Rudi usome upya S.160(1) of LMA between lines
Asomeje tena wakati amesoma na kuwasilisha alichosoma! Labda ungesema asome case laws
 
Huyu mzava ni mwanaume Malaya tu so kuishi na mtu na kuachana haimaanishi asioe,maana Bora anavooa labda atatulia.
Na huyo mama aliye achwa akubali kuachika mwenzake kuvalishwa Pete, na harusi kutangazwa it means hapendwi asitake kuharibu sherehe za watu na kimbelembele Cha kuzaa sio kumu keep a man.
 
Lakini lazima tukubali pia kwamba Mzava sasa sio tena yule Mfanyakazi wa Halmashauri, kwahiyo lazima na yeye ale Vitu vya hadhi yake. Anna angemvumilia tu waendelee kulea mtoto lakini amuache apate furaha
Uko sahihi huyo dada ka ndoa haikufungwa kanisani wakati wanazini wote imekula kwake it seems hata hapendwi why a force
 
Kanisa limeharibika.
Kanisa la leo KKKT limetekwa na wenye fedha.
Mafisadi papa wanacheza densi madhabahuni.
Leo KKKT mtu anafunga na mimba ya miezi 8 na haoni aibu.
Leo KKKT mchungaji anaalikwa kwenue halfa ya ndoa yenye pombe na anafungua kwa maombi na kubariki vinywaji.
Tusubiri tu kiama kila mtu akajibu yake.
 
Huyu mzava ni mbunge wa wapi?
 
Bwashee, ule ugonjwa wako wa kupoteza kumbukumbu umekurudia tena? Kuna mbunge wa jinsia ya kiume weli wa chadema, ukiondoa wale 19 na yule mmoja wa Nkasi?
Haaa πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€
Umempiga Upper Cut Chemba Kidevu
Akiomba Maji Ya Kunywa Anakufa Hapo Hapo
 
Ujanjaujanja Kwenye Dini Nadhani Kote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…