Hawa Huwa wanaitwa Slow Learners, taratibu tu atakuelewa.Mkuu, alichoeleza ndugu mwenye uzi na anachoshauri ni haki ya kusikilizwa kwa wenye pingamizi, kwamba wasikilizwe na uamuzi utolewe. Uamuzi ni pamoja na kuliona pingamizi lililowekwa kuwa halina mashiko. Kanisa haliwezi kukaa kimya au kuamua tu bila kuwasikiliza wapingaji.
Ndicho anachoshauri mwanajamvi mwenzetu hapa. Masuala ya pingamizi kusimama au kushindwa hayo ni ya kimaamuzi baada ya usikilizaji wa pingamizi
[emoji3][emoji3][emoji3] ni kweliAcheni kijana aoe
Haya mambo ya kuharibiana eakati ndoa zenyewr ni za manati hayana tija
Uko sahihi kabisa.Sijawahi kuona post ya kipumbavu kama hii kwanza kabisa ujue kabisa halihusiki na uzinzi wenu na ujue kabisa kwamba mahusiano ya sasa yamekuwa ni janga .swali LA kujiuliza ni je huyo Anna aliishije miaka mitatu na mwanaume hadi kuzaa,mtoto? Je huyo mwanaume alishampeleka kwao kumtambulisha? Alilipa mahari? Mila na tamaduni za kiafrica zinasemaje huu ya uchumba? Au ndoa? Tatizo lenu wadada mmezidi kujiachia hivyo hivyo mkizani kwamba kuzaa ndio kupata ndoa isitoshe Pete za uchumba feki wengine mnavishana bar halafu eti mnajiita wanandoa wakati hata familia zenu hawajui kama unaishi na mwanaume.ifike mahali mabinti muwe na adabu kaa kwa utulivu subiri kijana afike kwenu ajitambulishe ndio uambatane naye hata kama sio kwa harusi lakini heshima inakuwepo. Huyo Anna kwa ukweli unaaonekana ni Hawara sio make na atafahamika tu kama mzazi mwenzake na sio make Wa ndoa kwa hiyo akae kwa kutulia .sharia ya ndoa ingekuwa inatambua wadada waliozalishwa bado ndoa nyingi zingezuiliwa. Pia ukumbuke kwamba hata huyo mtoto Wa mbunge naye angekuwa na mimba wakaja wrote Wawili bado huyo mwanaume anaruhusiwa kuchagua mmoja kati yao na kufunga naye ndoa kwakuwa mapenzi hayalazimishwi. Ukumbuke pia kwamba mawaziri wengi na wabunge wengi waliacha wakezao Wa jamani Tena wenye watoto wengi tu kisa wake zao sio wasomi na wakaoa wanawake wengine wasomi Tena kwa ndoa halali za kanisani . mbona hamjawahi kuwaongelea? Au umemuona huyo binti Wa palanjo tu? Inawezekana umetumwa kuvuruga kabisa au ndoa ya huyo binti lakini hutaweza. Huyo binti simfahamu lakini namtakia baraka zote Mungu amtangulie . watanzania tupinguze majungu kama Anna ana haki aende mahakamani kama kuna Mali wamechuma pamoja atapewa share yake
Hapana, kuishi miaka miwili tu sio kigezo pekee. Mimi nilikuwa najibu hoja yako kwa maana akirudi kusoma kifungu ulichomuelekeza, jibu litakuwa ni kuishi miaka miwili pekee ndio kigezo maana kifungu tajwa hakina maneno mengine zaidi ya aliyoyasema.Mkuu kuishi miaka miwili au zaidi ni kigezo pekee? Have they aquired the reputation of being husband and wife!? Na ukumbuke hiyo presumption of marriage is rebuttable.
Sasa bwana Mwanasheria,Wewe ni mwanasheria au nabishana na layman!? Nakuelimiaha hutaki Tena bila fee note. Sasa kama huelewi so unaweza hata kugoogle sio unabisha unreasonably anyways wataelewa wengine we endelea kukaa na mwanamke ulidhani umemuoa siku ataolewa unabaki umedata mlangoni kwa kanisa.
Kiimani huko Sina shida Nako, hiyo ndiyo ni makosa ila ,Mkuu kikanisa presumption ni uzinifu uliokubuhu waroma wanaita usuria, wasahili wanaita uhawara.
Hana pingamizi juu ya ndoa hiyo bali ana haki juu ya matunzo ya mwanaye afate proper forum na sio magazeti.
NB: sifurahishwi na gazeti tajwa siku hizi limegeuka lakidaku.
Mwisho kabisa Dk. Shoo kama Askofu wa dayosisi na askofu mkuu tz ana mambo mengi ya msingi yakufanya hilo jambo laweza kutatuliwa na mchungaji wa ushirika husika au muinjilisti lakini mimi napendekeza wazee wa kanisa
Hata kama hana hoja, kusikilizwa ni haki yake.Kiimani huko Sina shida Nako, hiyo ndiyo ni makosa ila ,
Kisheria Binti anahoja , pingamizi lake lisikilizwe.
Hata kama hana hoja, kusikilizwa ni haki yake.
[/QUOTE
Hoja anayo maana kazaa na kuishi na jamaa,
Ila usahihi wa hoja hizo unategemea na maamuzi ya wenye mamlaka.
Lisikilizwe wapi nduguKiimani huko Sina shida Nako, hiyo ndiyo ni makosa ila ,
Kisheria Binti anahoja , pingamizi lake lisikilizwe.
Kama Anna na Mzava waliishi kama mume na mke Kwa zaidi ya miaka miwili, hapo Kuna presumption of marriage.
Anna ana pingamizi halali, asikilizwe.
Sasa Kama alitaka kuolewa, ilikuaje akatanguliza mtoto?Washauri wapeleke pingamizi la haki kwa askofu / Mchungaji, wekeni viambatanisho halali.
Wakilazimisha ndoa kuendelea kutangazwa wahini mahakamani.
Hawa wanaume ni vizuri nao wawajibishwe siyo kuja kuwaita singles mother wakati wao ndio sosi.
Ikibidi tafuteni mwanasheria makini alale nao mbele.
Goodmorning my JF.
Nonsense!!Lakini lazima tukubali pia kwamba Mzava sasa sio tena yule Mfanyakazi wa Halmashauri, kwahiyo lazima na yeye ale Vitu vya hadhi yake. Anna angemvumilia tu waendelee kulea mtoto lakini amuache apate furaha
Ana ndoa ya kiserikali, haitambuliki kidini.Kama Anna na Mzava waliishi kama mume na mke Kwa zaidi ya miaka miwili, hapo Kuna presumption of marriage.
Anna ana pingamizi halali, asikilizwe.
Jimbo la nasari ndio mmiliki yeyeHuyo Dr Pallangyo ni mbunge wa Chadema?
Dah... mm sina mtoto ila kuwasimangaga single momz roho inaniumagaaaaa[emoji119]Washauri wapeleke pingamizi la haki kwa askofu / Mchungaji, wekeni viambatanisho halali.
Wakilazimisha ndoa kuendelea kutangazwa wahini mahakamani...